Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

Ukimuona Mkunda anavyoongea alafu ukilinganisha na Mkuu wa Majeshi wa Marekani wakati anaongea unaishia kusema tu bhangoshaaaaa kweli nchi yetu imelaaniwa.

Tanzania tumejaza vilaza kila kona aiseee
Hii Bhaghoshaa Sana
 
Watu wenye akili duniani.

Sisi tupo na hizi maiti zinazopigishwa chafya morgue zinakimbizwa kama ndezi mitaani kuanikwa anikwa juani kupambana na raia unarmed halafu zinakusanywa bwenini sijui bwaloni zinakatazwa zisishiriki siasa za wanasiasa zinampigia makofi mnenaji huku ni mwanasiasa wa kike aliyewashirikisha kwenye siasa zake chafu.
 
CDF anae ruhusu na kufanya mauaji ya wanachi alie apa kuwalinda. Hana tofauti na nyamulenge tu
 
Vikosi vya ujasusi vya bongo wanapiga kambi kuwavizia akina mdude.
 
Hiki kitu walichokifanya Marekani ni cha kukemewa sio kusifiwa.

Unaendaje kuteka Rais wa Taifa jingine huru?
Humu kuna watu wapo kama wacheza mdundiko wakisikia mlio wanaufuata tu hata hawajui ngoma inaenda wapi, Wanadhani alichofanya Mmarekani kwa Venezuela, nchi kama China na Urusi zinashindwa kufanya? Ndiyo maana wamelaani hicho kitendo kwakuwa baada ya kudumisha amani duniani kinaweza kikawa ni sababu ya kuvuruga zaidi amani ya dunia.
 
At least Kepteni Tesha angekuwa Mkuu wetu wa Majeshi tungesema kwa mbaaali anaendana na Mkuu wa Majeshi wa Marekani.

Ila ukiongoa Kepteni Tesha hawa wengine wote waliobaki pale JWTZ ni ngumbaru na wapumbavu watupu.
Tumekupata Jenerali Dan Caine wa USA.
 

General Mkunda tumepigwa, JW linajiita ni Jeshi la Wananchi badala ya kuwalinda wananchi linamlinda Samuya, hichi kiapo chao cha kumlinda Rais kibadilike inabidi waape kuwalinda wananchi, tuna katiba mbovu sana
 
General Mkunda tumepigwa, JW linajiita ni Jeshi la Wananchi badala ya kuwalinda wananchi linamlinda Samuya, hichi kiapo chao cha kumlinda Rais kibadilike inabidi waape kuwalinda wananchi, tuna katiba mbovu sana
Nafasi za kugombea nafasi ya CDF zitatangazwa hivi karibuni, tunakuomba usisite kugombea utusaidie.
 
Vikosi vya ujasusi vya bongo wanapiga kambi kuwavizia akina mdude.

"Nitakuwa makini kutosema yote kabisa, maana tunaweza kuwa na operesheni inayofanana na hii katika eneo jingine, wakati mwingine tukipewa amri" - mwisho wa kumnukuu jenerali Dan Caine

Maneno mazito haya yafike Kizimkazi, Ocean Road /Kigamboni Ferry na Dodoma Chamwino. Kuna jalada /file kubwa linazidi kuongezewa data zilizokusanywa kwa muda mrefu na ni kazi endelevu kumulika kila mienendo, mazowea, kawaida, tamaduni, makazi n.k Ili kutumika wakati, tarehe, muafaka.

January 4, 2026
OPERESHENI YA KUMKAMATA MADURO INAELEZEWA KWA KINA

View: https://m.youtube.com/watch?v=PC3tUZ1qGwsAmerica just toppled another regime. In this video, former infantryman Chris Cappy breaks down how U.S. Delta Force captured Venezuelan president Nicolás Maduro. In a high-risk nighttime raid on Fort Tiuna, backed by a massive 150-aircraft SEAD air campaign that shut down Venezuela’s air defenses. We analyze the helicopters, cyber warfare, CIA intelligence, legality, and, most importantly, who is actually in control of Venezuela now after Maduro’s arrest.
 
Hiki kitu walichokifanya Marekani ni cha kukemewa sio kusifiwa.

Unaendaje kuteka Rais wa Taifa jingine huru?
Marais wajinga wajinga acha watekwe tu kama wao wanavyoteka raia.
 
Mkunda ni msomi wa elimu ya juu! Huyo General wa USA hawezi mfikia Mkunda zaidi ya mbwembwe tu! America kama wanaweza wakamteke Rais wa Russia!
 
Nimeshika hapo kwenye failure is not an option. Kama tu Babu wa mababu zake aliesema impossible is not French. Mzee Napoléon aliwahi kusema.
 
America Wana mbwembwe!!!
wakamteke Putin sasa kama wanaweza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…