Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

Wakijaribu tu kumteka WW3 itaanza ndani kabla nusu saa haijapita
Ila pia unafki mwingi,hao hao Putun,China,india ni mabest wa Maduro. Mpaka sasa wamesemaje?Alikimbizwa yule wa Syria, leo Maduro. Hata Putin akitekwa wanaweza potezea tu.Sema wale wajeshi wa Russia ndo watakinukisha mno unless nao wawe walishamchoka Putin.
 
Russia haitaki kujihusisha na vita nyingine yoyote kwasababu atapoteza nguvu kubwa na Wanajeshi wakati bado lengo lake kwa Ukraine halijatimia na amewekeza nguvu kubwa pale

Kingine Putin na Trump hawawezi kupigana vita labda angekuwa Rais mwingine wa Marekani, hao wanaelewana
 
Wanaume hawa
 

Jan 4 2026
Venezuela was in Russia's security bubble—advisors, S-300s, Wagner, surveillance. Yet US conducted airstrikes, extracted Maduro.


View: https://m.youtube.com/watch?v=WA_YE2E1D-cHow? Deep analysis: American intelligence penetration, Russian defensive failures, EW superiority, or Russian choice not to escalate? What operation reveals about real balance of power, Russian credibility collapse, implications for Syria/Africa/China. Breaching the bubble accelerates hegemonic decline. .

 
 

Attachments

  • RDT_20260103_212445826176070297914487.jpg
    450.3 KB · Views: 18
Jenerali wetu Mkunda wa red cross ni sawa na majenerali wa Somalia, Burundi na DRC, kamwe hapaswi kulinganishwa na Jenerali Dan Caine wala Jenerali Laurent Nkunda wa M23. 😆
 
Experience kwenye uwanja wa kivita ni kitu muhimu sana.

Na sidhani kama kuna taifa linalolizidi Marekani kwenye uzoefu wa mambo ya kivita.

Uzoefu huo wa Marekani ndo unaifanya Marekani iwe na mafanikio mengi ya kijeshi.
Wazoefu wa vita ni
NATO
Russia
Ukraine
Israel

Hawa wetu walifukuzwa Goma kama watoto
 
Mkuu, uteuzi wa CDF JWTZ kigezo kikuu huwa ni uchawa,siyo lazima utaalam wake katika medani
Wale wenye sifa za kuwa wakuu wa majeshi kwa mantiki ya kuijua kazi yao,kuwa na msimamo na kujitambua wanakuwa overlooked kwa makusudi kwa hofu ya uwezwkano wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa ..
 
Huyu wa kwetu dah...rejea ile video ameza fuvu anasoma katazo la watu kutoka nje siku zile za uchaguzi...yaani ukicheki tu unaona nduhu masala....
 
Huku ukijua kuzama kwenye matope tu kama kambale + UCHAWA pro max kwa CIC basi inatosha
 
03 January 2026

Vea la llegada del avión que trae s Nicolás Maduro tras su captura

View: https://m.youtube.com/watch?v=KpscNKxsPhk
El avión aterriza en EE.UU, donde enfrenta cargos por narcotráfico, tras su captura en Venezuela.

Nicolás Maduro y su esposa, Cilia Flores, fueron acusados de conspiración de narcoterrorismo, conspiración para la importación de cocaína y delitos relacionados con armas.
Source : Noticiss Telemundo
 
Atakayesema Tanzania hakuna freedom of Speech atakuwa ana lake jambo,.
 
Ujasusi wa kidola katika uhalisia wake, ukitumika vizuri. Clips kadhaa za Nicolas Maduro akiwa anaongozwa kuingia ktk karandiga la gari aina ya deraya la kijeshi huku anasindikizwa na vyombo vya usalama, ulinzi na sheria vya taifa la Marekani


View: https://m.youtube.com/watch?v=VYvVdN5KGVY
 

Cuba yasema maafisa 32 wa Cuba waliuawa katika operesheni ya Marekani nchini Venezuela​

Na Andrea Rodríguez, The Associated Press
Januari 5, 2026, 4:51 AM

Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel akipeperusha bendera za taifa za Venezuela na Cuba wakati wa mkutano huko Havana Jumamosi kwa mshikamano baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolás Maduro na kumtoa nje ya Venezuela. (Ramon Espinosa/AP)


HAVANA — Operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela iliwaua maafisa 32 wa Cuba mwishoni mwa wiki, serikali ya Cuba ilisema Jumapili katika hesabu rasmi ya kwanza ya vifo iliyotolewa ya mashambulizi ya Marekani katika taifa hilo la Amerika Kusini.

Maafisa wa jeshi na polisi wa Cuba walikuwa katika misheni ambayo jeshi la nchi ya Karibi lilikuwa likifanya kwa ombi la serikali ya Venezuela, kulingana na taarifa iliyosomwa kwenye TV ya serikali ya Cuba Jumapili usiku.


Kile ambacho Wacuba walikuwa wakifanya kazi katika taifa hilo la Amerika Kusini hakikuwa wazi, lakini Cuba ni mshirika wa karibu wa serikali ya Venezuela na imetuma vikosi vya kijeshi na polisi kusaidia katika operesheni kwa miaka mingi. Uvumi wa vifo hivyo ulisambaa kisiwani humo mwishoni mwa juma.

"Unajua, Wacuba wengi waliuawa jana," Rais wa Marekani Donald Trump aliwaambia waandishi wa habari ndani ya Air Force One alipokuwa akiruka Jumapili usiku kutoka Florida kurudi Washington. "Kulikuwa na vifo vingi upande wa pili. Hakuna kifo upande wetu."

Operesheni ya Marekani Jumamosi ilimkamata Rais wa Venezuela Nicolás Maduro na mkewe ili kushtakiwa kwa mashtaka yanayowatuhumu kushiriki katika njama ya ugaidi wa dawa za kulevya

Ingawa serikali ya Venezuela imekiri kwamba watu kadhaa walikufa katika milipuko ya Marekani, haikuthibitisha ni wangapi waliuawa kwa The Associated Press.

Serikali ya Cuba ilitangaza siku mbili za maombolezo kwa maafisa wa Cuba waliouawa, na rais wa zamani na kiongozi wa mapinduzi Raúl Castro na Rais Miguel Díaz-Canel walituma salamu za rambirambi kwa familia zao. Majina ya waliofariki na nafasi walizoshikilia hayakufichuliwa mara moja na mamlaka ya Cuba.

View: https://m.youtube.com/watch?v=awC3doqjL8E"Wakiwa waaminifu kwa majukumu yao ya usalama na ulinzi, wenzetu walitimiza wajibu wao kwa heshima na ushujaa na walianguka baada ya upinzani mkali katika mapigano ya moja kwa moja dhidi ya washambuliaji au kutokana na mabomu ya vituo," taarifa rasmi ilisema.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, mwana wa wahamiaji wa Cuba, pia alizungumzia ushiriki wa Cuba nchini Venezuela mwishoni mwa wiki, akisema kwamba vyombo vya usalama vya ndani vya Maduro viliongozwa na Wacuba na kwamba walikuwa "wakimsaidia Maduro."


"Walinzi wote wanaosaidia kumlinda Maduro - hii inajulikana sana - shirika lao lote la kijasusi, wote waliokuwa wamejaa Wacuba," Rubio alisema
 

VIDEO ZIKIONESHA MAPITO YA MADURO SIKU MBILI KABLA YA KUTIWA MBARONI, AKIZUNGUKA MITAA YA MJI MKUU JIJI LA CARACAS
pia kufanya interview ktk gari linaloendeshwa n.k hii yote ikiwa kuhama location moja hadi nyingine, kama mbinu zake Maduro za medani za kiujasusi na usalama kukwepa mkono mrefu wa taifa kubwa na lenye nguvu duniani

View: https://m.youtube.com/watch?v=EHtyzHTyAuI
 
Machado kiongozi wa upinzani aliyeenguliwa na Maduro wakati wa uchaguzi wa urais Venezuela aongea


View: https://m.youtube.com/watch?v=jYRrPc2Rc0gKiongozi wa upinzani wa Venezuela Maria Corina Machado anatoa shukrani kwa Rais Donald Trump kwa 'kumfikisha Maduro mbele ya sheria' katika mahojiano exclusive na 'Hannity.'

Maria Corina Machado anaelezea kwa undani mbinu aliyotumia Nicolas Maduro kumzuia yeye kama kinara mkuu na mpizani kushiriki uchaguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…