Hapana, majenerali wetu hasa huyu, ni kamanda kweli. tatizo ni pale wanapouvua uanajeshi/ukamanda na kuongozwa au kusikiliza ya wanasiasa/wanamaslahi/watu aina ya Abdul na the like inakuwa shida. Unakumbuka hata ile statement yake wakati wa maandamano ya 29 October, hakuitoa kama CDF. Alikuwa ni CDF aliyemwagiwa maji, kama vile kulikuwa na bunduki nyuma yake. Ile authority ya CDF haikuwepo kabisa.Jenerali wetu Mkunda wa red cross ni sawa na majenerali wa Somalia, Burundi na DRC, kamwe hapaswi kulinganishwa na Jenerali Dan Caine wala Jenerali Laurent Nkunda wa M23. 😆
Hapa sipingi....halafu kama wameenda kwenye mission ya kijeshi kama iraq au Syria ya kama miaka mitatu au miwili , mwanajeshi akirudi anastaafu na kupewa kibunda yake anatulia na kama anataka kuendelea ni option yake... Unakuta mjeda ana miaka 30 ameshastaafu jeshi anapiga mishe zingine.... Njoo kule Malawi sasaExperience kwenye uwanja wa kivita ni kitu muhimu sana.
Na sidhani kama kuna taifa linalolizidi Marekani kwenye uzoefu wa mambo ya kivita.
Uzoefu huo wa Marekani ndo unaifanya Marekani iwe na mafanikio mengi ya kijeshi.
Mkunda hana elimu yeyote ya maana.Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].
Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio.
View: https://youtu.be/qe2RuYI8KZY?si=jW9g514EO5u_65aS
Ukiambiwa kwamba huyu jenerali ni msomi na anajua anachokifanya kwenye hiyo kazi yake, halafu umuone anavyoelezea namna walivyoifanikisha hiyo operesheni, ni lazima utakubali tu kwamba jamaa ni “kichwa”
Anaongea kwa kueleweka bila kigugumizi wala kujing’ata ng’ata.
Hata akiwa anasoma, anasoma hayo maelezo kama mtu ambaye ni msomi aliye na elimu ya juu.
Sasa hebu jaribu tu walau kidogo kumlinganisha General Caine na Jenerali Mkunda 🤣.
Nina mashaka sana na elimu ya Mkunda……seriously!
Hawa ambao wamemshindwa Zelensky?Ila pia unafki mwingi,hao hao Putun,China,india ni mabest wa Maduro. Mpaka sasa wamesemaje?Alikimbizwa yule wa Syria, leo Maduro. Hata Putin akitekwa wanaweza potezea tu.Sema wale wajeshi wa Russia ndo watakinukisha mno unless nao wawe walishamchoka Putin.
Na vitambi vyao vya bia za ofaHapa sipingi....halafu kama wameenda kwenye mission ya kijeshi kama iraq au Syria ya kama miaka mitatu au miwili , mwanajeshi akirudi anastaafu na kupewa kibunda yake anatulia na kama anataka kuendelea ni option yake... Unakuta mjeda ana miaka 30 ameshastaafu jeshi anapiga mishe zingine.... Njoo kule Malawi sasa
Jeshi limejaaa vitambi kama kikundi cha MatarumbetaNa vitambi vyao vya bia za ofa
Cuba yasema maafisa 32 wa Cuba waliuawa katika operesheni ya Marekani nchini Venezuela
Na Andrea Rodríguez, The Associated Press
Januari 5, 2026, 4:51 AM
Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel akipeperusha bendera za taifa za Venezuela na Cuba wakati wa mkutano huko Havana Jumamosi kwa mshikamano baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolás Maduro na kumtoa nje ya Venezuela. (Ramon Espinosa/AP)
HAVANA — Operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela iliwaua maafisa 32 wa Cuba mwishoni mwa wiki, serikali ya Cuba ilisema Jumapili katika hesabu rasmi ya kwanza ya vifo iliyotolewa ya mashambulizi ya Marekani katika taifa hilo la Amerika Kusini.
Maafisa wa jeshi na polisi wa Cuba walikuwa katika misheni ambayo jeshi la nchi ya Karibi lilikuwa likifanya kwa ombi la serikali ya Venezuela, kulingana na taarifa iliyosomwa kwenye TV ya serikali ya Cuba Jumapili usiku.
Kile ambacho Wacuba walikuwa wakifanya kazi katika taifa hilo la Amerika Kusini hakikuwa wazi, lakini Cuba ni mshirika wa karibu wa serikali ya Venezuela na imetuma vikosi vya kijeshi na polisi kusaidia katika operesheni kwa miaka mingi. Uvumi wa vifo hivyo ulisambaa kisiwani humo mwishoni mwa juma.
"Unajua, Wacuba wengi waliuawa jana," Rais wa Marekani Donald Trump aliwaambia waandishi wa habari ndani ya Air Force One alipokuwa akiruka Jumapili usiku kutoka Florida kurudi Washington. "Kulikuwa na vifo vingi upande wa pili. Hakuna kifo upande wetu."
Operesheni ya Marekani Jumamosi ilimkamata Rais wa Venezuela Nicolás Maduro na mkewe ili kushtakiwa kwa mashtaka yanayowatuhumu kushiriki katika njama ya ugaidi wa dawa za kulevya
Ingawa serikali ya Venezuela imekiri kwamba watu kadhaa walikufa katika milipuko ya Marekani, haikuthibitisha ni wangapi waliuawa kwa The Associated Press.
Serikali ya Cuba ilitangaza siku mbili za maombolezo kwa maafisa wa Cuba waliouawa, na rais wa zamani na kiongozi wa mapinduzi Raúl Castro na Rais Miguel Díaz-Canel walituma salamu za rambirambi kwa familia zao. Majina ya waliofariki na nafasi walizoshikilia hayakufichuliwa mara moja na mamlaka ya Cuba.
View: https://m.youtube.com/watch?v=awC3doqjL8E"Wakiwa waaminifu kwa majukumu yao ya usalama na ulinzi, wenzetu walitimiza wajibu wao kwa heshima na ushujaa na walianguka baada ya upinzani mkali katika mapigano ya moja kwa moja dhidi ya washambuliaji au kutokana na mabomu ya vituo," taarifa rasmi ilisema.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, mwana wa wahamiaji wa Cuba, pia alizungumzia ushiriki wa Cuba nchini Venezuela mwishoni mwa wiki, akisema kwamba vyombo vya usalama vya ndani vya Maduro viliongozwa na Wacuba na kwamba walikuwa "wakimsaidia Maduro."
"Walinzi wote wanaosaidia kumlinda Maduro - hii inajulikana sana - shirika lao lote la kijasusi, wote waliokuwa wamejaa Wacuba," Rubio alisema
jenerali Javier Marcano Tábata Hatari sana, asukumiwa jumba bovu.
Niliwahi kuihoji elimu ya Mkunda awali kabla watu hawajaweka wasifu wake wa kielimu 🤣.Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].
Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio.
View: https://youtu.be/qe2RuYI8KZY?si=jW9g514EO5u_65aS
Ukiambiwa kwamba huyu jenerali ni msomi na anajua anachokifanya kwenye hiyo kazi yake, halafu umuone anavyoelezea namna walivyoifanikisha hiyo operesheni, ni lazima utakubali tu kwamba jamaa ni “kichwa”
Anaongea kwa kueleweka bila kigugumizi wala kujing’ata ng’ata.
Hata akiwa anasoma, anasoma hayo maelezo kama mtu ambaye ni msomi aliye na elimu ya juu.
Sasa hebu jaribu tu walau kidogo kumlinganisha General Caine na Jenerali Mkunda 🤣.
Nina mashaka sana na elimu ya Mkunda……seriously!
Elimu ya Kiraia ameishia Form SixNiliwahi kuihoji elimu ya Mkunda awali kabla watu hawajaweka wasifu wake wa kielimu 🤣.
Umeandika ujingaNi General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].