Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

Mm ninapokuwa na mpenzi wangu suala la mimba huwa sio tatizo...hayo magonjwa unayatoa wapi kama wote hamchepuki halaf miaka ya karibuni sijasikia mtu kaambukizwa STD
Unaweza ukawa hauchepuki ila una uhakika gani mwenzio hachepuki? Hapo ndipo penye shida.
 
Kwahiyo ww unataka kuniaminisha unakuwa kwny rltnshp kwa miaka 3 na mara zote mnatumia cndm?

Hapo sitaamini kbs
Kwa mwaka tunaonana mara mbili au tatu. Naachaje kutumia condom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…