Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Unaweza ukawa hauchepuki ila una uhakika gani mwenzio hachepuki? Hapo ndipo penye shida.Mm ninapokuwa na mpenzi wangu suala la mimba huwa sio tatizo...hayo magonjwa unayatoa wapi kama wote hamchepuki halaf miaka ya karibuni sijasikia mtu kaambukizwa STD