Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Feruz anaimba niko primary, leo hii nimezeeka, sembuse Feruz.

Umri na uzee ni inevitable kwa binadamu. Nikiangalia picha zangu nikiwa mdogo early 2000 na leo hii 24 years plus naishiwa nguvu kabisa.

We have to appreciate time or every moment we get in life kwa sababu we will never get it back again.
 
Hiyo sura ni kama ana 57 sasa. Huyo sura tuu imemsaliti vinginevyo ni kama Jmo tuu au mwanaFA kwa age yake
Inawezekana lakini huwezi jua umri wake halisi wakati anatoa ile nyimbo ya Starehe.

Maana Kibongo Bongo hadi utoboe unaweza kukuta umefikia 30+

Kwahiyo mantiki yangu ni kwamba huenda amevuka 50yrs

Ama kama ulivyosema sura imemgomea.

Kuna baadhi ya Wanaume tuna sura za ngumu zaidi ujue πŸ˜œπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…