Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Wadau kumbe kuna kuzeeka aisee, huyu ferouz hatumii vitu kweli mbona kama age imeenda sana aise.

Unaweza kusema kikongwe, maisha kweli yanabadilika.

Screenshot_20240721-113807_1.jpg
 
Feruz anaimba niko primary, leo hii nimezeeka, sembuse Feruz.

Umri na uzee ni inevitable kwa binadamu. Nikiangalia picha zangu nikiwa mdogo early 2000 na leo hii 24 years plus naishiwa nguvu kabisa.

We have to appreciate time or every moment we get in life kwa sababu we will never get it back again.
 
Hiyo sura ni kama ana 57 sasa. Huyo sura tuu imemsaliti vinginevyo ni kama Jmo tuu au mwanaFA kwa age yake
Inawezekana lakini huwezi jua umri wake halisi wakati anatoa ile nyimbo ya Starehe.

Maana Kibongo Bongo hadi utoboe unaweza kukuta umefikia 30+

Kwahiyo mantiki yangu ni kwamba huenda amevuka 50yrs

Ama kama ulivyosema sura imemgomea.

Kuna baadhi ya Wanaume tuna sura za ngumu zaidi ujue 😜🙌
 
Back
Top Bottom