Hizo sura ‘Waswideni’ hawathubutu kuzimendeaWadau kumbe kuna kuzeeka aisee, huyu ferouz hatumii vitu kweli mbona kama age imeenda sana aise.
Unaweza kusema kikongwe, maisha kweli yanabadilika.
View attachment 3047769
Amezeeka aiseeAmezeeka au ni kamera?
Duuh kweliMkuu miaka inakimbia.
Mwenyewe Kila nikimuona first born wangu anavyokua, nasema soon nitaanza kutembelea Mkongojo 🙌
SawaSiku ukipata ukimwi utajua nyimbo yake ile kuwa sio ya kizee
Duuh kweliKuzeeka ni kawaida.huwa nawashangaa sana wazee wa dar kukataa kuitikia salamu za shikamoo eti ni kuwazeesha.kwani kuzeeka ni vibaya?
Fanya tathmini angalia wale uliosoma nao primary ama Sekondari uone 😜Duuh kweli
Duuh noma sanaaClassmate ana sura personal tangu skonga...
Nchi hii wanafik wengi ,, anaacha kushangaq Babu zake kijijin anamshqngaa Feruz ambaye kimaumbile yupo hivyo tangu zamanImepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.
Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌
Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Kabisa,Nchi hii wanafik wengi ,, anaacha kushangaq Babu zake kijijin anamshqngaa Feruz ambaye kimaumbile yupo hivyo tangu zaman
Duuh hatari aiseeFerooz alikuwa na sura chachu toka zamani.
🤣🤣🤣Uzi wa kipuuzi kwelikweli. Huu ni ujinga mleta mada umefanya.