OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
So unataka kutuaminisha hata kwenye mitihani huwa anaandika hivyo?View attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
Short message not short sentenceSMS "short messaging service"
For me, I think it is a way of shortening sentences to make the whole messege to be "SMS"Short message not short sentence
Mbona Kuna wenye shahada humu JF home of great thinkers wanaandika hivyo hivyo? Kazi ni kubwa.View attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
Hoja yako ni ipiMbona Kuna wenye shahada humu JF home of great thinkers wanaandika hivyo hivyo? Kazi ni kubwa.
Soma mstari wa mwisho.Hoja yako ni ipi
View attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
Hizo ni sawa na shorthand mkuu. Sio kwamba hajui kuandika. Ni sawa na kwenye kijiwe ukakuta wanaongea slang au lugha ya mitaani. Ipo kila sehemu ukiingia kwenye mitandao ya kizungu au ya kirusi utakutana nayo hiyo.View attachment 2402371