Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Afadhari wewe umesema ukweliMuache aandike hivyo akiwa form four. Asijeruka stage tukawa na mijitu mizima inaandika hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhari wewe umesema ukweliMuache aandike hivyo akiwa form four. Asijeruka stage tukawa na mijitu mizima inaandika hivyo.
No.Hizo ni sawa na shorthand mkuu. Sio kwamba hajui kuandika. Ni sawa na kwenye kijiwe ukakuta wanaongea slang au lugha ya mitaani. Ipo kila sehemu ukiingia kwenye mitandao ya kizungu au ya kirusi utakutana nayo hiyo.
Hata hawajali. Kama mwanafunzi mwenyewe hatajijali basi imekula kwakeView attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
Hapana kwenye kuchat nae kwa text, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ulikuwa unaandika hivyo kwenye kazi za darasani?
Dah ulikosea sanaHapana kwenye kuchat nae kwa text, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakat huo nlisha graduate.
Kwanini alifeli lasaba?Wife wangu ni mhitimu wa darasa la saba ila hawezi kuandika kijinga kwa namna hii.
Amewapita wengi sana kwenye kuandika na kuongea. Hata wahitimu wa university baadhi amewapita.
H
A
R
L
Y
Herufi hizi zote anazingatia.
Yeah, kuna formal short forms na uhuni ama mbwembe. Binafsi bora uniandkie short forms zinazoeleweka ila siyo hizo xaxa na xcul 🤣 🤣🤣 No way out but we have to live with them.Hayo yanaeleweka.
Hebu niambie mtu anaandika xaxa badala ya sasa. Kuna ufupisho gani hapo kama sio uhuni?
Yeah, ama hivyo. Maana mnakuwa na kama code yenu mnaelewana. U reason to whom you are addressing and style or manner of addressing, kama ataelewa ama lah! Kuliko mtumzima kumpelekea ujumbe kwa style hiyo ndo communication barrier enyewe. Badala aelewe ujumbe mnaanza kuchambua ujumbe kwanza ndo apate maana hahahaMm tng zmn huwa natumia short form kwa Mtu tunaelewana miandiko.
Otherwise sehemu nyengine zt naandika swsw