wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Mshukuru mungu anaandika Sawa, stend sasa ungekutana na xw, xtnd hapo Sasa.
Stendi iheshimiwe jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshukuru mungu anaandika Sawa, stend sasa ungekutana na xw, xtnd hapo Sasa.
Hapana tunawaendekeza. Mimi mwanangu alikuwa ananiandikia msg kwa shortcut. Nikamwambia sitaki kuona akiniandikia hivyo mimi...kaachaMuache aandike hivyo akiwa form four. Asijeruka stage tukawa na mijitu mizima inaandika hivyo.
Hivi hizi "stage" zilianza lini?Muache aandike hivyo akiwa form four. Asijeruka stage tukawa na mijitu mizima inaandika hivyo.
View attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
Mkuu hivi huyu mbwa ( pijo ) hii picha alipigwa akiwa anakula embe dodo au karoti 🤔
Mkuu hata wewe kuruhusu mtu kuchati na wewe Kwa maandishi hayo ni kosa usilaumu tu wizara ya elimu..View attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
Ni kweli mkuu darasani wanaandika kawaida.. huku mtaani ndio wanaandika kichina.. inabidi wazazi tukalipie swala hiliHapana tunawaendekeza. Mimi mwanangu alikuwa ananiandikia msg kwa shortcut. Nikamwambia sitaki kuona akiniandikia hivyo mimi...kaacha
Ni kweli mkuu darasani wanaandika kawaida.. huku mtaani ndio wanaandika kichina.. inabidi wazazi tukalipie swala hili
Kama haamini ulichomwambia, akakague madaftari ya huyo mwanafunzi aone kama nako kuna uandishi huo.Hizo ni sawa na shorthand mkuu. Sio kwamba hajui kuandika. Ni sawa na kwenye kijiwe ukakuta wanaongea slang au lugha ya mitaani. Ipo kila sehemu ukiingia kwenye mitandao ya kizungu au ya kirusi utakutana nayo hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora huyo wa form 4 kuna watu wenye degree zao na wanaandika hivyo[emoji28][emoji28][emoji28]
Mbavu zang mie uwiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]xx cpo ap ntoka cm ilxm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.Hapana tunawaendekeza. Mimi mwanangu alikuwa ananiandikia msg kwa shortcut. Nikamwambia sitaki kuona akiniandikia hivyo mimi...kaacha
Anatumia simu ya aina gani?View attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
Yuh you are right, ndomana hata wazungu utaona anaandika TBH akimaanisha "To Be Honest" , lol, idgaf, idk, idc, mw, rotfl, omg, omy, and many more.Hizo ni sawa na shorthand mkuu. Sio kwamba hajui kuandika. Ni sawa na kwenye kijiwe ukakuta wanaongea slang au lugha ya mitaani. Ipo kila sehemu ukiingia kwenye mitandao ya kizungu au ya kirusi utakutana nayo hiyo.
Imagine okay anaandika k.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
Hayo yanaeleweka.Yuh you are right, ndomana hata wazungu utaona anaandika TBH akimaanisha "To Be Honest" , lol, idgaf, idk, idc, mw, rotfl, omg, omy, and many more.