Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Inakera sana.Ni kweli mkuu darasani wanaandika kawaida.. huku mtaani ndio wanaandika kichina.. inabidi wazazi tukalipie swala hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakera sana.Ni kweli mkuu darasani wanaandika kawaida.. huku mtaani ndio wanaandika kichina.. inabidi wazazi tukalipie swala hili
daaah qmmmmq
So unataka kutuaminisha hata kwenye mitihani huwa anaandika hivyo?
Hizo ni swag tu, kajilipua akili kama wewe unavyojilipuaga na simbwa yako, sio kama hajui kuandika
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Bora huyo wa form 4 kuna watu wenye degree zao na wanaandika hivyo[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2402371
View attachment 2402372
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu wasiopikwa ipasavyo. Fikiria baada ya miaka 10 ijayo hali itakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlichambwa na mwalim wangu kisa muandiko km huu. Noumaaa sana.Imagine okay anaandika k.
Uvumilivu ulinishinda. Nikamwambia usiandike tena hivyo hasa kwa mtu aliyekuzidi umri utaonekana huna akili. Ainielewa nashukuru...now ananyoosha maneno.
Yaani ulikuwa unaandika hivyo kwenye kazi za darasani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlichambwa na mwalim wangu kisa muandiko km huu. Noumaaa sana.
Sahihi kabisaView attachment 2402371