Huyu ni kidato cha nne, Serikali chukueni hatua

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu hata wewe kuruhusu mtu kuchati na wewe Kwa maandishi hayo ni kosa usilaumu tu wizara ya elimu..
 
Hapana tunawaendekeza. Mimi mwanangu alikuwa ananiandikia msg kwa shortcut. Nikamwambia sitaki kuona akiniandikia hivyo mimi...kaacha
Ni kweli mkuu darasani wanaandika kawaida.. huku mtaani ndio wanaandika kichina.. inabidi wazazi tukalipie swala hili
 
Hizo ni sawa na shorthand mkuu. Sio kwamba hajui kuandika. Ni sawa na kwenye kijiwe ukakuta wanaongea slang au lugha ya mitaani. Ipo kila sehemu ukiingia kwenye mitandao ya kizungu au ya kirusi utakutana nayo hiyo.
Kama haamini ulichomwambia, akakague madaftari ya huyo mwanafunzi aone kama nako kuna uandishi huo.
 
hapo serikali wala elimu duni haihusiki,huyu ni sawa na mtu aliyenunua suruali dukani halafu akaamua kuitoboa magoti aivae hivyo.tutakosea kulaumu kiwanda.

hayo ni madoido yao watoto wakiwa wanachart wao kwa wao,changamoto ni pale anaposhindwa kujua anachart na nani.

mzim wew,mamb,n2mie naul bc,nkuj sas hv,[emoji15][emoji15]
 
Hapana tunawaendekeza. Mimi mwanangu alikuwa ananiandikia msg kwa shortcut. Nikamwambia sitaki kuona akiniandikia hivyo mimi...kaacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
 
Anatumia simu ya aina gani?
 
Hizo ni sawa na shorthand mkuu. Sio kwamba hajui kuandika. Ni sawa na kwenye kijiwe ukakuta wanaongea slang au lugha ya mitaani. Ipo kila sehemu ukiingia kwenye mitandao ya kizungu au ya kirusi utakutana nayo hiyo.
Yuh you are right, ndomana hata wazungu utaona anaandika TBH akimaanisha "To Be Honest" , lol, idgaf, idk, idc, mw, rotfl, omg, omy, and many more.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
Imagine okay anaandika k.
Uvumilivu ulinishinda. Nikamwambia usiandike tena hivyo hasa kwa mtu aliyekuzidi umri utaonekana huna akili. Ainielewa nashukuru...now ananyoosha maneno.
 
Yuh you are right, ndomana hata wazungu utaona anaandika TBH akimaanisha "To Be Honest" , lol, idgaf, idk, idc, mw, rotfl, omg, omy, and many more.
Hayo yanaeleweka.
Hebu niambie mtu anaandika xaxa badala ya sasa. Kuna ufupisho gani hapo kama sio uhuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…