Huyu ni kidato cha nne, Serikali chukueni hatua


Nyie ndo mnawapotezea mda WA kusoma kwa kuweka miadi nao ya kuwaharibia mda WA kusom
 
Majuzi hapa kulikua na kaprojoject flani kalitumia kama wiki mbili, sasa tulipewa msimamizi kutoka tamisemi kwa maelezo yao, tuliunda group la WhatsApp ili kupeana taarifa inapobidi.

Aisee!!! Yule kiongozi wetu hata darasa la saba haandiki vile[emoji28], ani mpaka na jamaa zangu wengine tulikua tunaulizana huyu jamaa hajui kuandika au??

Utakuta sehemu ya kukaa A anatanguliza H, haweki nafasi kwenye neno na neno anaunganisha tu, ani ukisoma pia huwezi elewa inabidi ujifanye kuomba atume voice note ili irahisishe kusoma taarifa kumbe ni kuepeuka kutokuelewa[emoji28][emoji28]

Kuandika ni kipaji pengine na ndio maana kuna Waandishi.
 
Imagine okay anaandika k.
Uvumilivu ulinishinda. Nikamwambia usiandike tena hivyo hasa kwa mtu aliyekuzidi umri utaonekana huna akili. Ainielewa nashukuru...now ananyoosha maneno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlichambwa na mwalim wangu kisa muandiko km huu. Noumaaa sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlichambwa na mwalim wangu kisa muandiko km huu. Noumaaa sana.
Yaani ulikuwa unaandika hivyo kwenye kazi za darasani?
 
Huwa wanakera Sana Tena huyo mbona anaandika vizur Kuna watu ukimaliza kusoma sms yake kichwa kinauma.
 
Hizo ni swaga tu kakuletea shida umribwako umeenda huwezi kuelewa ila na wenzake wanaelewana vizuri.
 
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…