Huyu ni kidato cha nne, Serikali chukueni hatua

Wife wangu ni mhitimu wa darasa la saba ila hawezi kuandika kijinga kwa namna hii.
Amewapita wengi sana kwenye kuandika na kuongea. Hata wahitimu wa university baadhi amewapita.
H
A
R
L
Y
Herufi hizi zote anazingatia.
 
Hizo ni sawa na shorthand mkuu. Sio kwamba hajui kuandika. Ni sawa na kwenye kijiwe ukakuta wanaongea slang au lugha ya mitaani. Ipo kila sehemu ukiingia kwenye mitandao ya kizungu au ya kirusi utakutana nayo hiyo.
No.
Msomi lazima azingatie miiko ya short cut.
Acha kutetea ujinga.
 
Hata hawajali. Kama mwanafunzi mwenyewe hatajijali basi imekula kwake

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Yaani ulikuwa unaandika hivyo kwenye kazi za darasani?
Hapana kwenye kuchat nae kwa text, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakat huo nlisha graduate.
 
Wife wangu ni mhitimu wa darasa la saba ila hawezi kuandika kijinga kwa namna hii.
Amewapita wengi sana kwenye kuandika na kuongea. Hata wahitimu wa university baadhi amewapita.
H
A
R
L
Y
Herufi hizi zote anazingatia.
Kwanini alifeli lasaba?
 
Mbona anaeleweka tu vizuri hyo.Kuna watu akiandika ukisoma alichoandika walahi utatoka kapa.
 
Hayo yanaeleweka.
Hebu niambie mtu anaandika xaxa badala ya sasa. Kuna ufupisho gani hapo kama sio uhuni?
Yeah, kuna formal short forms na uhuni ama mbwembe. Binafsi bora uniandkie short forms zinazoeleweka ila siyo hizo xaxa na xcul 🤣 🤣🤣 No way out but we have to live with them.
 
Mm tng zmn huwa natumia short form kwa Mtu tunaelewana miandiko.

Otherwise sehemu nyengine zt naandika swsw
 
Mm tng zmn huwa natumia short form kwa Mtu tunaelewana miandiko.

Otherwise sehemu nyengine zt naandika swsw
Yeah, ama hivyo. Maana mnakuwa na kama code yenu mnaelewana. U reason to whom you are addressing and style or manner of addressing, kama ataelewa ama lah! Kuliko mtumzima kumpelekea ujumbe kwa style hiyo ndo communication barrier enyewe. Badala aelewe ujumbe mnaanza kuchambua ujumbe kwanza ndo apate maana hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…