Huyu ni member anayependa siasa humu JF ila tu siasa haimpendi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Anapenda sana siasa huyu MamaSamia2025. Ila shida sasa siasa yenyewe bado hajaiweza au niseme haijui. But nadhani ni vyema tumpongeze kwa kuonesha juhudi.

Ingawa huwa anakuwa na hasira na makasiriko lakini ndo ilivyo kwa wanawake wengi. So unaweza ukamsoma anatukana kweli kweli. Unashangaa huo mdomo ndo anatumia kulia chakula? Ndo huo huo anananiilia pia? Wanawake wengi huwa hawana hoja.

Tumpe hongera zake maana alikuwepo faiza foxy amefikia hatua anashindwa tetea hali ilivyo kaamua kujinyamazia tu. Kaona hali ni mbaya amebaki mwanamke mamasamia huyu hachoki.
 
Tumefikia huku kuanza kujadili kuhusu hizi ID za JF kweli!!??
Matatizo na changamoto za Watanzania ni nyingi sana ambazo zinapaswa zijadiliwe ili zipatikane njia ya kuzitatua.
 
Sijaona matatizo ambayo umejadili na utatuzi wake. Hapa naona umeandika malalamiko tu.
 
Anapenda sana siasa huyu MamaSamia2025. Ila shida sasa siasa yenyewe bado hajaiweza au niseme haijui. But nadhani ni vyema tumpongeze kwa kuonesha juhudi.

Ingawa huwa anakuwa na hasira na makasiriko lakini ndo ilivyo kwa. So unaweza ukamsoma anatukana kweli kweli. Unashangaa huo mdomo ndo anatumia kulia chakula? Ndo huo huo anananiilia pia?

Tumpe hongera zake maana alikuwepo faiza foxy amefikia hatua anashindwa tetea hali ilivyo kaamua kujinyamazia tu. Kaona hali ni mbaya amebaki mwanamke mamasamia huyu hachoki.
Mimi sio mwanasiasa na wala sina nia yoyote ya kuwa mwanasiasa. Ninachofanya ni kueneza sera za CCM na serikali yake. Ninavutiwa mno na uongozi wa Mama Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.

Kuhusu kutukana sijawahi kumtukana mtu yeyote humu ila ukinipiga shavu la kushoto usitegemee nikugeuzie la kulia... nitakuvunja huo mkono. Mimi sio Yesu.
 
Changamoto ni kwamba wenzio Tlaatlaah Mpwayungu Village na Lucas Mwashambwa wanajitahidi kukulikoo😂😂😂😂
 
Anapenda sana siasa huyu MamaSamia2025. Ila shida sasa siasa yenyewe bado hajaiweza au niseme haijui. But nadhani ni vyema tumpongeze kwa kuonesha juhudi.

Ingawa huwa anakuwa na hasira na makasiriko lakini ndo ilivyo kwa. So unaweza ukamsoma anatukana kweli kweli. Unashangaa huo mdomo ndo anatumia kulia chakula? Ndo huo huo anananiilia pia?

Tumpe hongera zake maana alikuwepo faiza foxy amefikia hatua anashindwa tetea hali ilivyo kaamua kujinyamazia tu. Kaona hali ni mbaya amebaki mwanamke mamasamia huyu hachoki.
Hahaha
 
Mimi sio mwanasiasa na wala sina nia yoyote ya kuwa mwanasiasa. Ninachofanya ni kueneza sera za CCM na serikali yake. Ninavutiwa mno na uongozi wa Mama Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.

Kuhusu kutukana sijawahi kumtukana mtu yeyote humu ila ukinipiga shavu la kushoto usitegemee nikugeuzie la kulia... nitakuvunja huo mkono. Mimi sio Yesu.

Ha ha ha na kamkono kako hako kalaini kamelegea. .. nmecheka sana
 
Mimi sio mwanasiasa na wala sina nia yoyote ya kuwa mwanasiasa. Ninachofanya ni kueneza sera za CCM na serikali yake. Ninavutiwa mno na uongozi wa Mama Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.

Kuhusu kutukana sijawahi kumtukana mtu yeyote humu ila ukinipiga shavu la kushoto usitegemee nikugeuzie la kulia... nitakuvunja huo mkono. Mimi sio Yesu.
Hahaha! Mitano tena.
 
Back
Top Bottom