Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Sijaona matatizo ambayo umejadili na utatuzi wake. Hapa naona umeandika malalamiko tu.Tumefikia huku kuanza kujadili kuhusu hizi ID za JF kweli!!??
Matatizo na changamoto za Watanzania ni nyingi sana ambazo zinapaswa zijadiliwe ili zipatikane njia ya kuzitatua.
Hata mchezo wa mpira una dk 15 za mapumziko....relax mkuu!Tumefikia huku kuanza kujadili kuhusu hizi ID za JF kweli!!??
Matatizo na changamoto za Watanzania ni nyingi sana ambazo zinapaswa zijadiliwe ili zipatikane njia ya kuzitatua.
Mimi sio mwanasiasa na wala sina nia yoyote ya kuwa mwanasiasa. Ninachofanya ni kueneza sera za CCM na serikali yake. Ninavutiwa mno na uongozi wa Mama Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.Anapenda sana siasa huyu MamaSamia2025. Ila shida sasa siasa yenyewe bado hajaiweza au niseme haijui. But nadhani ni vyema tumpongeze kwa kuonesha juhudi.
Ingawa huwa anakuwa na hasira na makasiriko lakini ndo ilivyo kwa. So unaweza ukamsoma anatukana kweli kweli. Unashangaa huo mdomo ndo anatumia kulia chakula? Ndo huo huo anananiilia pia?
Tumpe hongera zake maana alikuwepo faiza foxy amefikia hatua anashindwa tetea hali ilivyo kaamua kujinyamazia tu. Kaona hali ni mbaya amebaki mwanamke mamasamia huyu hachoki.
Changamoto ni kwamba wenzio Tlaatlaah Mpwayungu Village na Lucas Mwashambwa wanajitahidi kukulikoo๐๐๐๐Mimi sio mwanasiasa na wala sina nia yoyote ya kuwa mwanasiasa. Ninachofanya ni kueneza sera za CCM na serikali yake. Ninavutiwa mno na uongozi wa Mama Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.
Kuhusu kutukana sijawahi kumtukana mtu yeyote humu ila ukinipiga shavu la kushoto usitegemee nikugeuzie la kulia... nitakuvunja huo mkono. Mimi sio Yesu.
๐๐ kwani kuna mtu ninashindana naye huku? Mimi sihitaji chochote kwenye siasa. Ninaridhika na kipato changu. Nipo hapa kujifurahisha zaidi.Changamoto ni kwamba wenzio Tlaatlaah Mpwayungu Village na Lucas Mwashambwa wanajitahidi kukulikoo๐๐๐๐
HahahaAnapenda sana siasa huyu MamaSamia2025. Ila shida sasa siasa yenyewe bado hajaiweza au niseme haijui. But nadhani ni vyema tumpongeze kwa kuonesha juhudi.
Ingawa huwa anakuwa na hasira na makasiriko lakini ndo ilivyo kwa. So unaweza ukamsoma anatukana kweli kweli. Unashangaa huo mdomo ndo anatumia kulia chakula? Ndo huo huo anananiilia pia?
Tumpe hongera zake maana alikuwepo faiza foxy amefikia hatua anashindwa tetea hali ilivyo kaamua kujinyamazia tu. Kaona hali ni mbaya amebaki mwanamke mamasamia huyu hachoki.
Mimi sio mwanasiasa na wala sina nia yoyote ya kuwa mwanasiasa. Ninachofanya ni kueneza sera za CCM na serikali yake. Ninavutiwa mno na uongozi wa Mama Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.
Kuhusu kutukana sijawahi kumtukana mtu yeyote humu ila ukinipiga shavu la kushoto usitegemee nikugeuzie la kulia... nitakuvunja huo mkono. Mimi sio Yesu.
Hahaha! Mitano tena.Mimi sio mwanasiasa na wala sina nia yoyote ya kuwa mwanasiasa. Ninachofanya ni kueneza sera za CCM na serikali yake. Ninavutiwa mno na uongozi wa Mama Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.
Kuhusu kutukana sijawahi kumtukana mtu yeyote humu ila ukinipiga shavu la kushoto usitegemee nikugeuzie la kulia... nitakuvunja huo mkono. Mimi sio Yesu.