Luteni Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 337
- 312
Kula kunywa kulala sio Mambo yote Mtu anahitaji ziada ambayo itamsaidia apatapo tatizo pia anahitaji kujimwambafai kwa matokeo mazuli yajuhudi zake.Bado unauliza ni Mungu wa aina gani wakati unakula, na kushiba na una viungo vilivyokamilika vya kukuwezesha kujipatia riziki?
Always unapojisikia upo desperate, ama haupo unapotaka kuwepo maishani hebu waangalie wa chini yako. Angalia wanavyostruggle. Halafu mlani shetani na umshukuru Mungu kwa alipokufikisha.
Mbona huangalii neema ulizojaaliwa unaangalia ambavyo huna?Daah.! Wakuu najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka kama ni kuumia nimeumia sana kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunaemuabudu,kumuimba na kumsifu kila uchao je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii.
shukranpole mkuu.muombe kwa dhati ya kuomba na uwe mwenye kuvuta subira
Hakika japo tunapitia magumu mengi but nimejifunza kujipa uvumilivu ndo silaha mkuu.Mbona huangalii neema ulizojaaliwa unaangalia ambavyo huna?
Hapo wewe sio mzima wa afya? Kuna watu wana pesa kibao lakn hawafaidi maisha hata kidgo kutokana na maradhi yanayowakumba, ww mpk unamiliki smart4n na kuweza kuweka bando na kuchati jf unajiona una hali ngumu?
Binadamu tumejaaliwa neema nyingi sana lakini kazi yetu ni kuangalia tumenyimwa nn...mungu atusamehe sana.
HakikaAkili yako inapofika mwisho ndipo Mungu huanzia!
hakika mkuu shukranKuna wakati sisi binadamu tunapo fikia kikomo wetu wa kufikiri au kutatua changamoto hapo ndipo mungu huanza kufanya kazi, na uonapo giza limekuwa kingi ujue kupambazuka kumekaribia.
Pole ndugu kwa uelewa wangu mdogo jaribu kubadili badili mbinu za kupambana ila usitoke kwenye malengo. MUNGU NI MWENA SIKU ZOTE HUTENDA MAMBO AMBAYO MWANADAMU AMEYASHINDWA
hakika hio ndio maana yangu mkuu umemjibu vyemaKula kunywa kulala sio Mambo yote Mtu anahitaji ziada ambayo itamsaidia apatapo tatizo pia anahitaji kujimwambafai kwa matokeo mazuli yajuhudi zake.
Mkuu umejituma kwa juhudi ukayaacha maalifa
Ni wapi nimekufuru mkuu rudia tena kusoma thread.alafu mwishoni unatuambia 'sina hela ya kul' sijui 'nimelala nyaa naomba msaada' wakati umetu 'bore' na kukufuru………….!
Mungu hawahi wala hachelewi, endelea kuvuta subiraDaah!
Wakuu, najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka kama ni kuumia nimeumia sana kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunaemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii?
Hakika mkuuAlways nasema kuwa pamoja na mapambano makali ya kutafuta kufanikiwa maishani,but always msimamo wangu utabakia kuwa katika maisha KUFANIKIWA NI BAHATI..haijalishi nani anaisababisha hiyo bahati,but ukweli kama hauna BAHATI mafanikio sahau...kuna wengi hata hawapambani kiivyo na wanatoboa,na weeengi wapambanaji huwa wanakufa wakiwa na average life,tofauti na matarajio ambayo walikuwa wamejiwekea maishani..