Huyu ni nani?


u r the one talking about theories. kupelekwa mahakamani si hoja. ni sawa na msg iliyotumwa bila kufika panapostahili
 

tunaomba tu usiwe mfuasi. mengine yaache kama yalivyo
 
kuna mahali kajificha hammuoni tu, hawezekani pesa ikawa nje nje tu kiholela!
si wawainue kkiuchumi vijana wa mkoa wa Moro?
 
tunaomba tu usiwe mfuasi. mengine yaache kama yalivyo
Ufuasi unaanzia wapi? Umepitia thread nzima ukaona mengine yaliyoandikwa au unahit tu keyboard? Mengine ni kupakana matope na story za vijiweni. Nani yupo tayari kudhalilika bila ya kuwa mhusika?
 
Mmh! CV Bab kubwa. Hayumo kwenye Chama pia huyu? In any case, tunaisubiri kwa hamu hiyo ripoti inayofanyiwa kazi na Mzee wa kazi -MmKjj. Ingekuwa sie wengine tungeshabwaga manyanga baada ya mtiririko huo wa misifa. 😛
yahitaji moyo
 
kuna wakati alifikishwa mahakama ya kisutu kwa upotevu wa mamilioni ya benki moja jijini,sijui alishinda kesi?au sio yeye nafananisha majina?
 
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:

Merei Balhaboo

Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
Mwanakijiji unaandaa conspiracy gani nyingine. Au unaunganisha behewa moja la hatari la hali ya kisiasa mkoa wa Morogoro manake Morogoro rangi fulani inajigawia majimbo ha ha ha au unazungumzia uchumi ulivyo kwa wachache ambaow anaweza kuamua kuuangusha kupitia mafuta au kuna deal la nyara za serikali ahh naona kama nakuingilia !!! lakini si unajua tena mambo ya silver na fedheha zake sema basi ili tuseme.Unajua kwanini?

Kwa sababu huyu bwana ni mfanyabiashara, mtu wa huruma sijui kwa kimombo mnasemaje humanitarian? ah huu ung'eng"e @ nao taabu, kisha ni mwanachipoti, nini kingine tena ahh ni shabiki wa chama fulani.. nini tena.. na kila sehemu unaweza kutengeneza insha ya maneno mia nane at least ukielezea in brief yeye ni nani anafanya nini? positive element, negative element na baadaye ukaelezea what does it mean. Well umefanya sweeping sana kusema anayemjua huyu?

Sasa ona majibu yake mpaka faragha umepewa duhh sikuwa najua hili ama hakika hii kali na lazima nidaivu kuikwepa.
 
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:

Merei Balhaboo

Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
.
Mzee Mwanakijiji, jina la huyu jamaa limeibuliwa bungeni leo. Aliyeliibua ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, John Cheyo wakati akitoa maoni ya Kamati yake kuhusiana na taarifa za ukaguzi ya CAG. Mzee Cheyo ameliambia bunge kuwa huyu jamaa, nadaiwa zaidi ya bilioni 8 za serikali. Jamaa huyu ana kiburi cha ajabu, ameliomba bunge liiagize serikali imchunguze kujua kiburi hiki anakipatia wapi.

Japo Cheyo hakusema ni deni la nini na ni kiburi gani, nadhani majibu yanapatikana ndani ya taarifa ya CAG kuhusu hesabu za serikali kuu.

Pia nakumbushia, bado tunaisubiria dossier yako.
 
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:

Merei Balhaboo

Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?

MMKJ,
Tupataie hata dreft report basi....vile sasa mtu huyu katajwa bungeni.....au umempa Mzee Cheyo kwanza aimwage bungeni?...HATA HIVYO HONGERA KWA THE INITIATIVE
 
Kingine ni pedeshee mtu wa totoz,akipenda totoz anaweka naye apointment Dubaiiii
 
......alikuwa ana-off load mafuta pale chumvini karibu na deep sea market,Tanga kwa maghmash...alikuwa amefunga mita za kiuwizi kiasi kwamba hazikuwa zikisoma sahihi lita za mafuta aliyokuwa ana-off load ili kukwepa kodi...tena ni yeye ndiye alikuwa anasema lita ngapi kashusha na jamaa wa TRA hawasemi kitu ila wakati wa mchakato wa kuwania kuteuliwa kugombea urais within CCM...yeye alikuwa upande wa Sumaye waziwazi na kum-support tens of millions Tanzanian shillings....Mkwere alipoingia magogoni akamfanyia kitu mbaya......jamaa akatetereka.....hadi sasa makeke yake ni almost hakuna. Alikuwa na timu ya Motor sports rally inayoitwa STADO na walikuwa wanashiriki mashindano almost yote East & Central Africa lakini sasa nafikiri hawafanyi hivyo maana camp yao kuu ilikuwa garage ya TIOT nje ya gate la chuo cha SUA Morogoro ambapo magari haya yalikuwa yakionekana mara kwa mara yakifanya mazoezi lakini sasa hakuna hiyo kitu.
 
Mkkj Dose yote hii haijatosha? hebu leta raha kuelekea uchaguzi na usisahau CHECHEEEE
 
Huyo ni mfadhili wa zamani wa club ya MORO UNITED kipindi ilipokuwa maarufu!
 
Huyo ni mfadhili wa zamani wa club ya MORO UNITED kipindi ilipokuwa maarufu! Ikiwa na kina Patrick Katalay,Pitchou Mwango Kongoo, Habibu Mahadhi,Kadenge wa Kenya,Salumu Swedi,Ivo Mapunda,Nsa JOb,Patrick Mangunguru,David Mwantobe,Idrisa Rajabu n.k HAkika Moro ilikuwa inatisha!
 
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:

Merei Balhaboo

Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?

Ukichanganya na za mbayuwayu...Merei ni mchakachuaji mkubwa na mfadhili mkubwa wa CCM
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…