Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Acheni kututisha na konspirasi theorizi zenu. Tanzania ni nchi ya amani na utulivu. Inafuata utawala wa kisheria. Ina utawala bora. Pia ina uongozi uliochaguliwa katika uchaguzi uliokuwa huru na wa haki. Vyombo vya dola vinafanya kazi yake. Na watuhumiwa wote wanapelekwa mahakamani. Sheria inafuata mkondo wake.
u r the one talking about theories. kupelekwa mahakamani si hoja. ni sawa na msg iliyotumwa bila kufika panapostahili