Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

Ki roho kabisa, huyu ndie kiasi tu,Bado kidogo hajae ni mda tu hata ajae miaka ishirini but yupo ajae asema bwana ,so huyu yapo Mambo ataweka sawa kidogo ila bado hajae mkuu
Ishalah Allah aendelee kutupa wepesi na neema pia.
 
Ndiye.
Ndiyeee.. .
 
Aliwekwa lock up miezi kama 6, baadaye akaambiwa hawana hana wala kesi naye aondoke tu.
Kule ndani mmewabakiza wangapi?
azama lile usilopenda kutendewa , usiwatendee wengine!
Hukumu yawasubiri.
 
Mungu azidi kukuinua mkuu ,kuanzia leo lolote kwako lifunguliwe asema bwana , muhite hata mtume sawa , but mungu kakupa kibali ,thanks na barikiwa
 
Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania.
Post inarushwa kwenye group inayomhusu ,,unajisikia kabisa kukosoa jambo lakini unakumbuka admin ametishiwa na sheria na polisi ,,hilo jambo unabaki nalo moyoni. [emoji117] Haya hayakuwa maisha bali utumwa.

Ndio maana baadhi wakamfitinisha na Mungu kwa kumwita jiwe ni yesu, mungu na wala hakushtuka aliendelea kujiona hivyo.

Pengine ulikuwa ni mmoja wa watesaji,, siwezi jua.
 
kwa kweli binafsi naona ni mapema mno!

Ila...

Ombi langu ni kuwa mazingira yawe rafiki lakini kila pande itambue wajibu wake! Unaweza kwenda kwa mtu na sura rafiki alafu akauona lofa. Kwani miaka ya nyuma ni kama watu walijisahau wengine waliamini kuwa kiongozi kama JPM hatowahi kutokea katika nchi hii matokeo yake mambo yakawa ndivyo sivyo!

Bado mapema ila nina imani asipoingiliwa na watu, huenda akawa ndiye!
 
Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania.
Kuna pahala tuliomkosea mungu akaamua kutuletea laana kwa ujio wa hyu mtu, bt baada ya mateso kuzidi na watu wakajirudi kwa kuomba toba na msamaha kwa mungu akasikia na kutuondolea hii laana. Hallelujah, hallelujah ameeeeeeeeen.
 
Kwa ufahamu wangu mdogo najua Kuna mengi yamejificha tusiyoyajua lakini muda utakavyozidi kwenda tutayajua na ndio sasa tutajua kuwa ilikuwa baraka au laana lakini kwa Sasa tuwe na staha tusimalize maneno tusije kesho tukaitwa kigeugeu
 
Muda utasema ukweli mkuu
 
Muda utatupa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…