Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BADO NAJIULIZA KWA NINI SHEKH KISHIKI HAWAMUHOJI KWA YALE MATAMSHI ALOTOA DHIDI YA MBANGI SELE??
AminaNinachojua mpk sasa ni kwamba Mh Rais wa tz Mama samia suluhu hassan ni zawadi tuliyopewa watanzania ktk kurejesha furaha yetu iliyokuwa imepotea..ashukuriwe Mungu na sote tuseme amina.
Samia Suluhu ni chaguo LA Mungu,,
#"Ukipinga ukapimwe akili kinguvu!!"
Asante kwa uzi wako. Ili kunogesha mjadala na kupanua uwezo wa baadhi yetu wa kuelewa mambo haya, ninaomba kauli yako niliyoinukuu upe ushahidi usiotiliwa shaka wa uwepo wa tukio hili.Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki.
Sasa mbona kaichukua kama ni zawadi?Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania.
Hutu ndo yule tuliyekua tukimsubiri.Kazi Iendelee
Huyu ndo Joshua aliyepewa jukumu LA kutufikisha caanan .though ni she...Nawasalimu kwa JMT.
Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona.
Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi.
Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa.
Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki.
Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira.
Watumishi waliambia sitaongeza mshahara wala kupanda daraja,
Tulilazimishwa kupiga makofi na vigelegele kwa jambo zuri au baya.
Wanasiasa wa upinzani waliota joto la jiwe.
Katika yote hayo mtendaji mkuu master akijiita mtetezi wa wanyonge, wakati wanyonge wakilala njaa na kuambiwa maneno kuwa barabara zinajengwa,ndege kununuliwa vitu vyote hivyo vinawahusu.
Mungu hana kamati akafanya maamuzi,magumu sana.
Awamu ya 6 ikaja na maneno mapya kabisa ya kutia moyo.
1. Sitaki kodi ya dhuluma
2. Vyombo vya habari vifunguliwe
3. Sitaki uongozi wa kunyanyasa watu isipokuwa haki itendeke.
4. Wafanyabiashara na wawekezaji watengenezewe mazingira rafiki.
5. Mahusiano mema na nchi jilani na jumuiya ya kimataifa.
NAENDELEA KUJIULIZA KATIKA YOTE HAYA JE
Huyu ndiyo tuliyemtarajia mkombozi wetu au tuendelee kusubiri!!!
Hapa Kazi tu inaendelea.Hutu ndo yule tuliyekua tukimsubiri.
Nyumbu mmekalia kusifu tu, jengeni chama chenu kilichojifia kwa ubadhilifu wa faru John na genge lake.Nawasalimu kwa JMT.
Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona.
Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi.
Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa.
Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki.
Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira.
Watumishi waliambia sitaongeza mshahara wala kupanda daraja,
Tulilazimishwa kupiga makofi na vigelegele kwa jambo zuri au baya.
Wanasiasa wa upinzani waliota joto la jiwe.
Katika yote hayo mtendaji mkuu master akijiita mtetezi wa wanyonge, wakati wanyonge wakilala njaa na kuambiwa maneno kuwa barabara zinajengwa,ndege kununuliwa vitu vyote hivyo vinawahusu.
Mungu hana kamati akafanya maamuzi,magumu sana.
Awamu ya 6 ikaja na maneno mapya kabisa ya kutia moyo.
1. Sitaki kodi ya dhuluma
2. Vyombo vya habari vifunguliwe
3. Sitaki uongozi wa kunyanyasa watu isipokuwa haki itendeke.
4. Wafanyabiashara na wawekezaji watengenezewe mazingira rafiki.
5. Mahusiano mema na nchi jilani na jumuiya ya kimataifa.
NAENDELEA KUJIULIZA KATIKA YOTE HAYA JE
Huyu ndiyo tuliyemtarajia mkombozi wetu au tuendelee kusubiri!!!
Asante kwa uzi wako. Ili kunogesha mjadala na kupanua uwezo wa baadhi yetu wa kuelewa mambo haya, ninaomba kauli yako niliyoinukuu upe ushahidi usiotiliwa shaka wa uwepo wa tukio hili.
Kwa sababu tupo katika kuwekana sawa ili tuistawishe Tanzania yetu katika nyanja zote, naomba uweke maelezo yanayojitosheleza kiasi cha kuwa na uzito wa kisheria kwa lengo la kusaidia walioonewa.
Karibu.
Jambazi ma,,,,,,,akounatetea majambazi!!!
Jinga ww, kwani unafikiri drugs iliisha ,now mtandao waliushika kina bashite na wasukuma wengine,,nna mengi ila siwezi kukwambiaSubiri madawa ya kulevya yazagae ndiyo uone Mungu Heroine yukoje.