Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 890
- 1,236
- Thread starter
- #41
Ulikuwa ukiwaza familia yako, ndg zako na wadogo zako, mke inabidi tu uwe mpole
Post inarushwa kwenye group inayomhusu ,,unajisikia kabisa kukosoa jambo lakini unakumbuka admin ametishiwa na sheria na polisi ,,hilo jambo unabaki nalo moyoni. [emoji117] Haya hayakuwa maisha bali utumwa.
Ndio maana baadhi wakamfitinisha na Mungu kwa kumwita jiwe ni yesu, mungu na wala hakushtuka aliendelea kujiona hivyo.
Pengine ulikuwa ni mmoja wa watesaji,, siwezi jua.