Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

Ulikuwa ukiwaza familia yako, ndg zako na wadogo zako, mke inabidi tu uwe mpole
 
Kwa ufahamu wangu mdogo najua Kuna mengi yamejificha tusiyoyajua lakini muda utakavyozidi kwenda tutayajua na ndio sasa tutajua kuwa ilikuwa baraka au laana lakini kwa Sasa tuwe na staha tusimalize maneno tusije kesho tukaitwa kigeugeu
Ninachojua mpk sasa ni kwamba Mh Rais wa tz Mama samia suluhu hassan ni zawadi tuliyopewa watanzania ktk kurejesha furaha yetu iliyokuwa imepotea..ashukuriwe Mungu na sote tuseme amina.
 
Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania.

Magufuli ni mbegu iliyokufa na kuota ikituletea Magufuli wengi zaidi

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Kazi iendelee
 
Dalili za awali zinaonyesha kuwa NDIYE.
 
Its too early to judge
Naunga mkono hoja, hapa ndipo tunapofeligi wabongo kuanza kumpa credit kubwa kiongozi wa nchi mwanzoni tu mwa utawala bila kujua rangi ake halisi hapo siku zinavyosonga..
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...in mama Samia's voice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…