Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
Magufuli ni mbegu iliyokufa na kuota ikituletea Magufuli wengi zaidi

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Kazi iendelee
 
Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki.
Asante kwa uzi wako. Ili kunogesha mjadala na kupanua uwezo wa baadhi yetu wa kuelewa mambo haya, ninaomba kauli yako niliyoinukuu upe ushahidi usiotiliwa shaka wa uwepo wa tukio hili.

Kwa sababu tupo katika kuwekana sawa ili tuistawishe Tanzania yetu katika nyanja zote, naomba uweke maelezo yanayojitosheleza kiasi cha kuwa na uzito wa kisheria kwa lengo la kusaidia walioonewa.

Karibu.
 
Huyu ndo Joshua aliyepewa jukumu LA kutufikisha caanan .though ni she...
 
Nyumbu mmekalia kusifu tu, jengeni chama chenu kilichojifia kwa ubadhilifu wa faru John na genge lake.
 
Atakayepiga yaliyoorodheshwa hapa ni mpumbavu tu kama Ndugai
Aliyeungana na Magufuli kupinga mradi wa Bandari ya Bagamoyo , Leo Magufuli amekufa anaupigia kifua alafu anasema anamuenzi Magufuli
 
Mkuu katika niliyoorodhesha unahisi, kuna jambo nimemsingizia Hayati??

1. Suala la kutopanda,madaraja na nyongeza za mishahara alisema live hataongeza mpaka akikaribia kumaliza muda wake.

2. Suala la Ajira hili sipaswi kuongea sana kila mwenye macho anaona.

3. Kodi,za kibabe hata SSH amesema wazi,hataki tena kodi za zuluma.

Na,mengine mengi tu ya kukatisha tamaa!!
 
Subiri madawa ya kulevya yazagae ndiyo uone Mungu Heroine yukoje.
Jinga ww, kwani unafikiri drugs iliisha ,now mtandao waliushika kina bashite na wasukuma wengine,,nna mengi ila siwezi kukwambia
 
Hatuna wasiwasi na Mama ila tuna wasiwasi na chama atokacho....CCM ni chama cha dhurma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…