Huyu Ntobi afungwe speed gavana, la sivyo ataleta maafa.

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Huyu mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga anatakiwa ashauriwe asiongee yote akasahau kesho. Mwanzo alisema CHADEMA walimpitisha Lissu kugombea Urais huku wakijua hawezi kushinda. Hii kauli ilikuwa inakivua chama nguo mbele za watu. Kuonesha kwamba CHADEMA haina haja ya kushika madaraka bali inaigiza tu na kupoteza watu muda.

Leo katoa kauli nyingine ya kuudhi. Amedai ya kwamba Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa Kijiji. Ntobi anasahau ya kwamba Heche amewahi kuwa Diwani wa Tarime , Mwenyekiti wa BAVICHA, Mbunge wa Tarime na hata mjumbe wa kamati Kuu. Leo kudai hawezi kuwa mwenyekiti wa Kijiji ni dharau ya juu. Hizi dharau za machawa wa Mbowe sio nzuri hata kidogo. Hata Kama hawampendi Heche na Lissu ila wachunge kauli zao.
 
Huuu MZIGO abebeshwe Ntobi sio Mbowe, tusiunganishe Watu Kwenye hili
 
Vijana wa ccm hawana wasi wasi na kesho yao.
Wako well garanteed
 
Viongozi wenye matatizo ya afya ya akili wapo wachache ndani ya CDM, lakini si kwa uwiano ukilinganisha na wale wa CCM.

Ndani ya CDM ni kama 1% lakini ndani ya CCM ni pungufu kidogo tu kwa 95.5%.
 
Uhuru wa kutoa maoni unakandamizwa na mtoa mada
 
Viongozi wenye matatizo ya afya ya akili wapo wachache ndani ya CDM, lakini si kwa uwiano ukilinganisha na wale wa CCM.

Ndani ya CDM ni kama 1% lakini ndani ya CCMni pungufu kidogo tu kwa 95.5%.

Kweli kabisa CCM ni janga
 
Wewe unaumia nini CHADEMA wanavyotifuana? Nawapongeza sana Ntobi na Yericko kwa mashambulizi makali kwa wapinzani wote wa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…