Huyu Ntobi afungwe speed gavana, la sivyo ataleta maafa.

Huyu Ntobi afungwe speed gavana, la sivyo ataleta maafa.

Soma uelewe kwanza. Shida ni chama kuteua wagombea bila kuwa na Nia ya ushindi sio mambo ya Lissu.
Kama mgombea mwenyewe ni lisu, na uroho wake wa madaraka, kuna ubaya gani kumteua wakati mnajua hawezi kushinda? Msipomteua anawaletea songombwingo kwenye chama. Inabidi mmteue tu ili yaishe.
 
Back
Top Bottom