Huyu Ntobi afungwe speed gavana, la sivyo ataleta maafa.

Mkuki kwa nguruwe mbona nyie mnasema Mbowe hafai kugombea nyie nani awafunge breki.
 
Mbwa atakula muumbwa na mubwa wake, oyooo oyooo
 
Wapo kwenye kampeni, wataongea lolote tu
 
Chadema sijui wanakwama wapi, Ntobi IQ yake nindogo sana sijui hata uouenyekiti wa mkoa walizingatia vigezogani kumpa.
 
Kuhusu Heche namuunga mkono Ntobi. Nimesoma na John Heche akiitwa Wegesa Charles SAUT EDUCHE 2006-2009. Hana hata uwezo wa kuwa monitor wa darasa zaidi ya ujanjaujanja tu.

Halafu chengine, wakati mnamzuia Ntobi asiongee, mbona hamzuii Lissu asiropokeropoke?
 
Ntobi afungwe speed governor, Lissu aachwe aropoke. Dunia haina fairness..
 
Wewe unaumia nini CHADEMA wanavyotifuana? Nawapongeza sana Ntobi na Yericko kwa mashambulizi makali kwa wapinzani wote wa Mbowe.

Mimi sijaumia ila nimeshauri awe na kiasi. Kusema kuwa CHADEMA haina Nia ya kuunda serikali sio kauli ya kuiacha hivi hivi.
 
Mkuki kwa nguruwe mbona nyie mnasema Mbowe hafai kugombea nyie nani awafunge breki.

Ni kweli hafai. Kakiingiza chama kwenye uchaguzi na kuambulia Asilimia 0.78 na pia bado analazimisha maridhiano.
 
Actually,
muungwana ana mdomo kama Lisu tu, ila kwa style nyingine tofauti kidogo

na hiyo ndiyo chadema huru, itabidi mzoee uhuru makamanda 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…