Huyu Ntobi afungwe speed gavana, la sivyo ataleta maafa.

Ni kampeni tu mkuu, ndio maana wako wengine wanasema Ally Kibao kauawa na Chadema
 
Actually,
muungwana ana mdomo kama Lisu tu, ila kwa style nyingine tofauti kidogo

na hiyo ndiyo chadema huru, itabidi mzoee uhuru makamanda πŸ’

Wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu Nini? Mmeshindwa hata kuteua Makamu Mwenyekiti. Shughulika na ya kwenu.
 
Wameshiba pilau la Abdul.
Wanawataka walamba asali

Ni suala la muda tu watadhalilika
 
Wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu Nini? Mmeshindwa hata kuteua Makamu Mwenyekiti. Shughulika na ya kwenu.
yaani Lisu akiropoka unashangilia, Ntonbi akiropoka unapata mawenge, mchecheto, mihemko na makasiriko, na wote ni watoto wa nyumba moja,

nini hasa tatizo hapo gentleman? mbona chadema kuna uhuru sana na haki ya kutoa maoni na mitazamo miongoni mwa viongozi waandamizi wake?πŸ’
 
mbona hua anatoa point nzuri sana bungeni ambazo hata watu kama kina kabudi hawajawai zizungumzia hata kwa ukaribu
 
Nakataa kauli ya kusema vijana wote wa CHADEMA wapo kama Ntobi
actually,
vijana wengi chadema wana midomo ya uropokaji kama makamu mwenyekiti mwenye wao taifa, lakini pia ni mbinafsi kupindukia na mwenye tamaa sana,

na ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi πŸ’
 
mbona hua anatoa point nzuri sana bungeni ambazo hata watu kama kina kabudi hawajawai zizungumzia hata kwa ukaribu
Kwani Kibajaji, King Musukuma na Prof. Kishimba wanatoaga hoja mbovu Bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…