OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaumwa labdaNa Sawadogo naikumbuka ile clip yake ambayo anapokea pasi kisha anafanya turing kwa kisigino
Tukajua tutaendelea kuona muendelezo ule ule lakini kumbe hatukuwa sahihi.
Mwamba hata dakika 45 zilimshinda
Sijajua kwanini wamemuweka wa mwishoni kwenye kumpa mkono wa kwaheri. (Cause nauhakika yule lazima asepe)
Sijui huwa nini kinawakuta..au presha za wachezaji wazawa?? Unakuta wanawasema kwa kiswahili mpk wanaingiwa baridi...Youtube giroud unaweza mfananisha na dennis bergkamp.. 😂🤣
Usajili ni kamari, okra si mchezaji mbovu, wala yule andunje okwa, pia ni wachezaji wazuri..
Alexis sanchez katoka arsenal wa moto kaenda man u ni mashuzi tu, torres, andriy sheva, di maria n.k
Hamna mpira tu, ndio uko hivyo.. mbona kina chama, konde boy.. ukimuweka mbali okwi.. hao mbona wameupiga mwingi tu.Sijui huwa nini kinawakuta..au presha za wachezaji wazawa?? Unakuta wanawasema kwa kiswahili mpk wanaingiwa baridi...
Nimekuelewa mwanafamilia ...Hamna mpira tu, ndio uko hivyo.. mbona kina chama, konde boy.. ukimuweka mbali okwi.. hao mbona wameupiga mwingi tu.
Okrah aliuwasha vizuri ni majeruhi nasikia pia starehe nyingi saana.
Okwa sijui shida ni aina ya soka la walimu aliowakuta.. jamaa ni muumini wa nipe nikupe, kuachia moja moja, msambaza upendo.. alikuta kocha wa kwanza ni mzee wa counter attack.. anapenda double pivot.. namba 8 yake iwe inakaba pia, akawa anachezeshw 10, ufanisi wake mdogo, ila jamaa nilikuwa namkubali kinoooma, angepata mwalimu muumini wa kuachia moja moja.. angekuwa midomoni mwa wana msimbazi kwa mazuri yake.
Punguza shobo, jadili madaAngalau sasahivi unaandika kwa kushirikisha akili. Anyway takwimu zinatia uchungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mada ni kuwa hakuna mchezaji mbovu YouTubePunguza shobo, jadili mada
Mmeanza tena... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
Ni nadra sana Ligi ya Uganda, Burundi, Rwanda kukupa wachezaji bora. Ligi ya Kenya ukipata mchezaji kidogo anaweza nakumbuka
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi