Huyu Onana kwenye YouTube anatisha

Huyu Onana kwenye YouTube anatisha

Acheni kumsema Mwasibu wetu ,huu uzi hauna shida yeyote yeye amesema wazi kuwa Onana mkali Kiyutubu na kaweka ushahidi..
 


Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi

Na leo ameongeza magoli mawili tena ya youtube
 
Bila shaka "Be-nchika" alimcheki Onana kwenye you tube akaamua kumsaidia kurudisha makali yake!! Taizo la Onana lilikuwa la kisaikologia tu!! Kuna watu wengine huwa hawana uwezo wa kuhimili kuzomewa na mashabiki!! Mashabiki wa simba ndo walikuwa wachawi wa Onana!! Onana alikuwa amejikatia tamaa!! alikuwa anasubiri kuachwa kwenye dirisha dogo!! Benchi jipya la ufundi Simba wameanza kumrudisha Onana kwenye fomu!!! Ana uwezo wa kufunga kwa mashuti makali ya mbali, ana uwezo wa ku-press!! ana uwezo wa kuchambua mabeki!! Mungu akupe nini tena?
 


Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
Okwa ndio alikuwa Galasa.

Okra yule ni mtu na nusu.

Majungu tu ndio yalimwondoa Simba.
 
Back
Top Bottom