Huyu Onana kwenye YouTube anatisha

Huyu Onana kwenye YouTube anatisha



Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi

Huyu si ndiyo yule Onana aliyependekezwa na samwel Etoo kusajiliwa Msimbazi!!
Dah! Mwasibu umetisha sana. Maana matunda yake tunayaona. 😁
 
Mbuzi kwenye gunia
20231024_204256.jpg
 
Na kweli

Aahaaaa
Huyo nilihisi toka game ya kwanza ya msimu kuwa ameshachezewa na waswahili. Sasa hivi kashapoteza kabisa confidence. Ila target ndogo niliyoisema hapo bado anaweza kabisa kuifikia.
 
Ukitabiri/ukawa na hofu mbaya kwa timu yako pendwa yanatokea kweli, ukitabiri mema yanakuja kinyume chake

Ila muhasibu aisee
 
Back
Top Bottom