Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
United walikula tapishi kwa Pogba, Madrid tapishi kwa HazardUsajili ni pata potea tu....sio lazima upate ulichotarajia.
Ila angalau Pogba kuna kipindi alikiwasha ila Hazard ndio ka-flop mazima.United walikula tapishi kwa Pogba, Madrid tapishi kwa Hazard
Dah hatari sanaIla angalau Pogba kuna kipindi alikiwasha ila Hazard ndio ka-flop mazima.
Bado hatujasahau
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
Mchezaji wa Play Station YutubuPunguza shobo, jadili mada
Anaeza akawa na takwimu nzuri ila bongo pakamshinda ,muhimu aje aoneshe kwann Simba imemsajiriNitafuatilia Takwimu zake..
Ndugu yangu ukizipata nitag na mie.. 😂Nitafuatilia Takwimu zake..
Okrah alikuwa mchezaji mzuri sana sijui kilitokea nini kwake.
Alikuwa mtu kweli kweli.Jamaa alivyofika muda akanogewa na starehe za kidimbwi, tips, elements akawa chapombe.
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi