scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Inabidi aisee Mkuu. ππMwasibu anatakiwa kurudi darasani ili akajifunze upya hesabu. Maana anapogusa, lazima aache alama mbaya ya ungumbaru. π
Na leo ameongeza magoli mawili tena ya youtube
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
Eti uzi una shida gani, hauna shidaAcheni kumsema Mwasibu wetu ,huu uzi hauna shida yeyote yeye amesema wazi kuwa Onana mkali Kiyutubu na kaweka ushahidi..
Leo ndo siku ambayo mwasibu wa mchongo atatembelea uzi wake. π€£π€£Mwasibu apewe heshima yake..
Walau unapumua leo Mtani. πEti uzi una shida gani, hauna shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ndo siku ambayo mwasibu wa mchongo atatembelea uzi wake. [emoji1787][emoji1787]
Leo napita kila uzi kibabeWalau unapumua leo Mtani. π
Mwasibu unaviimbba. ππLeo napita kila uzi kibabe
Mniombe niwatakie ushindi leoMwasibu unaviimbba. ππ
Okwa ndio alikuwa Galasa.
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi