Huyu Pascal Mayalla huwa mnamuelewa?

Huyu Pascal Mayalla huwa mnamuelewa?

Lakini ana uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye harakati zake za kutafuta teuzi na nafasi ndani ya CCM. Kila akijitokeza kugombea chochote lazima aliwe kichwa. Anaweza kutumika kama mfano mzuri wa mtu anayefeli kwenye harakati zake.
 
Jamaa ana akili sana, mabandiko yake huwa anayaandika kama utani ila anamaanisha kinyume chake. Kifupi hatakagi ugomvi na wanasiasa uchwara so ana maintain the sense of neutrality.
 
Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.

Je, wengine huwa mnamuelewa?
Inabidi kusoma katikati ya mistari. Mara nyingi uwasilishaji wake inahitaji ufunuo wa jicho la tatu.
 
Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.

Je, wengine huwa mnamuelewa?
Kaka Paskali (Pascal Mayalla) huwa anapenda kukosoa lakini hataki aonekane amekosoa..!! Hivyo kumuelewa anasimamia wapi kuna wakati inakuwa ngumu..!!
 
Bwana manjaa hata umtukane umkejeli, yeye anagonga like tu. Unyama sana Pasko Manjaa.
 
Ulisha wahi kua katika hali ya kutaka ufarahishe kila mtu, na wakati huo huo useme ukweli?......utakuja kumuelewa akipata uteuzi.
Uteuzi 😎😎😎😎😎😎
 
Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.

Je, wengine huwa mnamuelewa?
Huyu Paschal Mayalla anatufundisha Bonge la Somo kuhusu USTAHILIMIVU. Fikiria umemchana halafu kakupa 'Like' katembea mbele kwa mbele kama Ambulance.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20240723_130704.jpg
    Screenshot_20240723_130704.jpg
    141.2 KB · Views: 1
Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.

Je, wengine huwa mnamuelewa?
Huyo ni ngumu kumuelewa itategemea tu ni maudhui gani unataka uyapate kutoka kwake,kiujumla P amawea kukulazimu ufuate yalipo maslahi yake ama akakutoa ulipo na maslahi yako hivyo akili tu kwa kichwa.
 
Back
Top Bottom