Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Hongera zake, Jamaa, nashauri kunapotokea mashaka ya aina hii, account ya muhusika isifungwe kabisa kabisa, bali fedha zizuiliwe nusu, na nusu mhusika aendelee na trading zake, nikimaanisha kublock mfanyabiashara total ni hatari sana, maana yapo mambo ambayo yanaweza kumsababishia hasara kubwa ya kutisha, "Stop that amount partial, while seeking way of solving the case.
 
Si aeleze alivyotengeza hiyo fedha yaishe badala ya kulalamika lalamika
 
Hana biashara yoyote huyo pimbi zaidi ya matako yake ya kirundi huko Dubai.
Wanampakua bila huruma,
Kama ulikuwepo JF 2008 utajua naongea nini
 
Jamaa kajiharibia sana kuandika mtandaoni bora angepenya kimya kimya kutafuta msaada kwa baraza la wazeeee

Unaenda kwa mtu akusaidie yeye mwenyewe na familia yake na kijiji chake hawajawai kushika hiyo hela.??



Then kwann unaweka hiyo hela yote bank moja ???
 
Anakula gudtym akiwa mfungwa au raia wa kawaida?

Katika mfululizo wa shows za 50 Cent, Hush ni moja kati ya waigizaji?




Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Tapeli huyu, hii statement atawazoa watu wasioelewa financial industry inafanyaje kazi. Kutume pesa nje ya nchi tena kwenye foreign currency sio jambo la mchezo, nchi zinazotoka wanabana, na mchi zinapokwenda wanakuwa na wasiwasi.

Hapa kuna watu either wamepigwa, jamaa anatafuta namna ya kusema "Hela zangu zimefungiwa", au anatengeneza mazingira ya kupiga watu
 
Kama account ni ya Tshs iweje makato ya benki yawe sh 3, 5, 30? Na tunaishi nchi ya TOZO
 
Mimi sipendagi kabisa wadada wakubwa vile kudate na wadogo zao, hivi mtu kama wema alikosa hata kuchukuwa hata waziri mmoja akakomaa nae? Status yote alokuwa nayo? Siwezi date utitili mimi.
Kwa comment hii nimehisi kutamani kuiona sura yako halisi.

Tatizo la huu ukuta walotujengea Jf kuongea bila kuonana sura, hata kama mtu anatema madini matupu, ubaki tu kufurahi ama kuhuzunika!
 
Sasa mtu anaedit statement halafu anaomba msaada kwa rais samia? Si utakuwa utoto?

Kwamba mamlaka zikifuatilia zikakuta amefanya huo mchezo si ndo ataingia kwenye matatizo zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…