Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Ukute hapo watu wamefukunyua makusudi ili ijulikane pesa anapataje, maana mda wote huo walishindwa kublock km alikua halipi kodi na ana miliki biashara halali, ila kwa kuwa ni wa kisiwani wala asiwe na pressure soon acc ake itakua open.

Ila watu wana pesa khaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni wa Burundi sio kisiwani. Huko amewekeza tu
 
Back
Top Bottom