Huyu Polisi wa zamani Marehemu Mkama Sharp alikuwa na Kipaji gani ambacho Polisi wengi wa sasa hawana?

Kwahiyo sisi tuliokuja mjini na mbio za mwenge tukae pembeni sio?
 
Yupo kamanda Tossi huyu alikuwa RPC Kagera miaka ya 2010 kipindi hicho uharifu ulikuwa unatishia usalama wa wananchi mkoani Kagera kutokana na wimbi la wakimbizi waliopelekea kuwepo kwa vitendo vya utekaji wa magari ya abiria hata binafsi kwenye misitu ya Biharamulo.
Kamanda Tossi alipofika mkoani Kagera alitangaza vita na waharifu wa aina zote kwenye vyombo vya habari na kufanya mazoezi makari kwa lengo ka kukabiliana na mjambazi. Kamanda Tossi alikuwa jitu la miraba minne lakini kwenye mazoezi alikuwa ikilala anateleza kama nyoka, alikuwa mwepesi sana ukilinganganisha na umri na umbo lake. Siku moja akiwa anatoka Biharamulo alikoswakoswa risasi na majambazi yakamtuia ujumbe wa simu kuwa hiyo ni ishara ya makaribisho.
Alipofika Bukoba Mjini kesho yake asubuhi sana alitiisha mkutano wa askari wrote, kisha akaamrisha wife wasalimishe simu zao kwake, kuwa wangerudishiwa baada ya Massa 48.
Alipanga operation na askari wake na wandishi wa habari na kuelekea msitu wa Biharamulo tayari kikosi cha inteligensua kilishabaini maeneo majambazi yaliko.
Aliongoza operation hiyo na kiwauwa majambazi wote, isipokuwa kamanda wao ambaye kwa mujibu wa mashuda risasi ilikuwa haipenyi kwenye mwili wake inasemekana walijaribu kummaliza kwa shoka na visu ikashindikana, Kamanda Tossi akatoa amri jambazi hiyo mchawi afungwe kwenye mti na kamba kuanzia miguuni mpaka kichwani chini ya ulinzi mkali Ali waone hatima yake. Jambazu alikufa kwa njaa baada ya wiki moja.
Heko kamanda Tossi sana Kagera tutakukumbuka daima kwa weledi ujasili na uzalendo uliotukuka. Sijui yuko wapi huyu Kamanda mwenye Picha yake atuwekee hapa.
 
Huyu mzee si baba mzazi wa video vixen, Tunda
 
Baada ya kustaafu alichukuliwa na Wizara ya Maliasili kuwatrain askari wanyamapori katika chuo cha wanyamapori Pasiansi Mwanza na pia katika mashirika kama TAWA, TANAPA na NCAA nowdays amebase sana upande wa NCAA
 
Namna alivyokuwa akivaa NADHIFU Pamoja na miwani yake
 
Quote me
Ulikutana na Binaadamu kweli na siyo Mtu, katika Maisha siku zote omba Mungu ukutane na Wanadamu na siyo Watu!!
Quote me
kuna makabila wakiwa na Askari huwa wanapenda watu wapate maumivu....

Ana anzaje kukuonea huruma utatamani ardhi ipasuke ikumeze....

All in all Kuna watu wanastahili kupewa second chance wakawa watu wazuri....

Ila Kuna wengine wameshakua manunda hata ukilisaidia Ni bure all in all ma Askari 99% hawana huruma....

Marehemu babu yangu aliwakataza watoto wake wote na UKOO WETU kufanya Kazi za uaskari......

Sijui kwann babu hakuipenda hiyo Kazi.....alipenda kusema Kazi ya "korokoroni"
 
Hata uwanja wa Taifa aka shamba la bibi aliwanyoosha waruka ukuta. Mtaa wa Kongo ndo vibaka walikuwa hawafurukuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…