GE2025 Huyu Professor Neema Kumburu aliyepata kura 8 za wajumbe mbona kama anajidhalilisha?

GE2025 Huyu Professor Neema Kumburu aliyepata kura 8 za wajumbe mbona kama anajidhalilisha?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
sio kila anaegombea anaamini atashinda wengine huwa wanajua hawawezi kushinda lakini wanatengeneza CV, ndani ya ccm nafasi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakuruugenzi na nafasi nyengine nyingi hao waliokatwa kwenye majimbo huwa wanapewa priority flani hivi ikiwa wanafiti kwenye sehemu husika. Na pia inaweza kumsaidia yeye kwa chaguzi za mbele
 
umeona huyo mshindi mwenyewe wa jimbo Priscus Tarimo, kwa miezi miwili mfululiko ilikuwa aipiti week bila ya kuanzishiwa mada hafai na za kujibu anatosha..
Kuna wengine hawa wawili pia wamenishangaza sana:-
1. Lukuvi.
2. Mwita Waitara.

Walikuwa wanatukwnwa kila siku humu mitandaoni na clip nyingi zilikija kuonesha hawatoboi lkn wameibuka vinara kwenye kura za maoni.

Baba Levo alikuwa overated kweli kweli lkn kaangukia pua.
 
Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.

Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Hii ni mara ya pili anaishia njiani.

Mara ya kwanza ilikuwa anapambania ubunge wa Afrika Mashariki akachemsha.

Bora arudishe nguvu Ushirika akaendelee kufundisha Dada yetu huyu.
 
Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.

Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Acha kuandika kwa wivu, toa fact
Amejidhalilisha nn hapo
Ksonesha uthubutu na ukomafu wa fikra
Huyo ni msomi tena mbobezi tu
Kwanini mara kwa mara unakwandika humu ndani kumkashifu?
Wewe umethubutu wapi?
Don't hate learn and appreciate people's efforts.
Angelina ungesema katoa rushwa ya ngono
muangalie kwa jicho la 3 Prof. Mdogo kwa umri wake wa 47 yrs
 
Kala za uso
 
Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.

Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Shida 🤑🤑🤑!
 
Kala za uso
Roho mbaya
Wanafki wakubwa tena tunawajua nyie mtu na dadake
We have all your information
Mmepanga kumchafua kisa kawazidi kila kitu
Malipo ni hapa hapa duniani
Mungu yuko upande wake
Wanafki wakubwa nyie kaka na dada
 
Back
Top Bottom