Kuna wengine hawa wawili pia wamenishangaza sana:-umeona huyo mshindi mwenyewe wa jimbo Priscus Tarimo, kwa miezi miwili mfululiko ilikuwa aipiti week bila ya kuanzishiwa mada hafai na za kujibu anatosha..
Hii ni mara ya pili anaishia njiani.Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Acha kuandika kwa wivu, toa factHuko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Kala za usoAcha kuandika kwa wivu, toa fact
Amejidhalilisha nn hapo
Ksonesha uthubutu na ukomafu wa fikra
Huyo ni msomi tena mbobezi tu
Kwanini mara kwa mara unakwandika humu ndani kumkashifu?
Wewe umethubutu wapi?
Don't hate learn and appreciate people's efforts.
Angelina ungesema katoa rushwa ya ngono
muangalie kwa jicho la 3 Prof. Mdogo kwa umri wake wa 47 yrs
Shida 🤑🤑🤑!Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Roho mbayaKala za uso