Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

Kumbe na mafuta aligawaπŸ™„πŸ™„πŸ™„, alafu uko hapa unampigia debe... Sie tunaishi na neno bwana... Mafuta ya kina Liv sijui mwamposa bin suguye yenu msiejua neno la Kristo!
Hata Yesu alipotaka kumponya yule kipofu alitema mate kwenye mchanga akamwambia ajipake
 
Nyota Kali ni Ile iliyoonekana na mamajusi wa Mashariki.

Nyota ya Yesu Kristo, Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.

Amen
Yesu pia alisema " mkifuata neno langu mtafanya mambo makubwa zaidi yangu" kwa maana mtakuwa na nyota Kali zaidi yangu.
 
Kumbe na mafuta aligawaπŸ™„πŸ™„πŸ™„, alafu uko hapa unampigia debe... Sie tunaishi na neno bwana... Mafuta ya kina Liv sijui mwamposa bin suguye yenu msiejua neno la Kristo!
Mafuta ni kilainishi
 
Mafundisho potofu yasiyofaa kwa wanaofuata Nuru ya Yesu Kristo.

Hakuna mahala ambapo Mungu aliagiza uliamini NENO hata lukitoka kwa mwovu. Hata shetani alitumia Neno kumjaribu Eva na baadaye Yesu

Nuru ni nuru mkuu haijalishi nani kabibeba.

Ukiwa kwenye chumba chenye giza.Akajakabaha/mzinzi/muuaji akawasha mshumaa, utaona kama ambavyo mshumaa huo angeuwasha mtenda mema asiye na dhambi kama wewe.
 
Pepo la uchawi toka muache mwanamke huyu.

# believe meπŸ‘‡

1. Ur spirit is not free.

2. Ur possessed
 
Pepo la uchawi toka muache mwanamke huyu.

# believe meπŸ‘‡

1. Ur spirit is not free.

2. Ur possessed
 
Ufalme wa Mungu upo ndani yako. So kwenye biblia yako hakuna hilo andiko?
Kama upo ndani yako kwanini unaenda kwa huyo Lovy?? Au Lovy ndo ndani yako iliyoandikwa kwenye biblia??
 
Nuru ni nuru mkuu haijalishi nani kabibeba.

Ukiwa kwenye chumba chenye giza.Akajakabaha/mzinzi/muuaji akawasha mshumaa, utaona kama ambavyo mshumaa huo angeuwasha mtenda mema asiye na dhambi kama wewe.
Low and indeed unqualified explanations.

Tunamuongelea Mungu ambaye amesema walio wake tutawatambua kwa matendo yao.

Huwezi kusema unatenda kazi za Mungu wakati unaishi kwenye dhambi. Lazima tuone Mungu alivyokibadilisha na tuone taswira yake katika maisha yako.

2 Wakorintho 11:14
Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.

2 Wakorintho 11:15
Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
 
MR. Deputy Jesus!! Usihukumu ili nawewe usije kuhukumiwa..
 
Kama upo ndani yako kwanini unaenda kwa huyo Lovy?? Au Lovy ndo ndani yako iliyoandikwa kwenye biblia??
Hawaendi kwa Lovy kutafuta ufalme wa Mungu
 
Yesu pia alisema " mkifuata neno langu mtafanya mambo makubwa zaidi yangu" kwa maana mtakuwa na nyota Kali zaidi yangu.
Huyo ni Nabii wa uongo!!

Chui katika vazi la Kondoo!!
 
Wengine hatumjui, ungetupia picha yake na location pia
 
Mzee Wa Kayumba..
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MR. Deputy Jesus!! Usihukumu ili nawewe usije kuhukumiwa..
Hukumu huandikwa na kutolewa na Mungu pekee.

Mimi nimeongea ukweli kama ambavyo Yohana Mbatizaji alivyomwambia Herode ukweli kuhusu kutembea na mke wa nduguye.

Usikimbilie cheap propaganda. Simama na Neno la Mungu au simama na shetani hakuna chaguo la tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…