Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ?
2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ?
3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?

Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?

DC ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, hivyo anaweza kuvaa mavazi hayo kwenye tukio maalum kwa jinsi ile ile Raia No.1, Tanzania, CinC anavyotimba sare za jeshi Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!
P
 
Ni mwenyekiti wa vikosi vya ulinzi na usalama vya wilaya, mwanajeshi yeyote anampigia saluti na ni bosi wake hivo ni halali kabisa kuzivaa sare za jeshi
 
Ni mwenyekiti wa vikosi vya ulinzi na usalama vya wilaya, mwanajeshi yeyote anampigia saluti na ni bosi wake hivo ni halali kabisa kuzivaa sare za jeshi
Umesoma lile angalizo la JW ?
 
Hao wakuu wa wilaya/mkoa Mbona hawavai tena hayo magwanda ? au hivi sasa si wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama?
 
1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ?
2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ?
3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?

Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?

Kama kuna taasisi yenye watu wenye akili ndogo, ni jwstz,hivi hsya msjitu huwa hayaangalii hata tv, duniani kote kuanzia South Afrika kuvaa nguo kama combat ni kitu cha kawaida, wala hsikugsnyi Uwe mwanajeshi, tatizo jeshi letu ni kama debe tupu! Wanawaza vitu vidogo,wengi wao ni dv 4 na zero!
 
Ni kwamba huwezi pingana na anayekuzidi uwezo. Ila ukweli ni kwamba siyo kila nguo inayofanana ya jeshi ni ya jeshi. Mshono,material,hakika ni tofauti. Na ikiwa hivyo,basi hata wauzaji wamitumba,wanapopakia ya kuja TZ,waonywe kupakia hizo rangi.
 
DC anamwakilisha Rais katika Wilaya! Rais ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi.
Isitoshe DC ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wilaya!
Na kama sikosei anapigiwa salute na wanajeshi.
 
1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ?
2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ?
3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?

Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?

Mbona tangazo lako halina tarehe, hata hivyo katazo halirudi kinyumenyume, wewe unalako jambo dhidi ya Gondwe.
 
1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ?
2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ?
3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?

Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?

Huyo ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya. Siku nyengine utamuona ametinga Kombati za Magereza! Dadeki!!!
 
Back
Top Bottom