Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Unaumia ukiwa wapi1. Referee sijajua ana tatizo gani na Senegal. Wakiangushwa ni kama haoni kabisa anasonga mbele tu.au anataka mpaka mtu avunjwe shingo ndo iwe foul?
2. Senegal nanyi mpira ni pamoja na akili siyo nguvu tu. Tulieni muwafunge wafaransa hao.
Unaumia ukiwa wapi
Kuna mjinga kakosa goal la wazi
Jamaa ame balance game, japo amemeza filimbi ila amejitahidi
Senegal hawana utulivu wapo kama hawachezi ulaya
Watatoka draw ama Senegal kushinda believe. Am with SenegalUfaransa pigeni hao
Thubutu😄Watatoka draw ama Senegal kushinda believe. Am with Senegal
Ngoja kipenga cha mwisho mkuu.Thubutu😄
Uje kwangu france nikupakate sasaWatatoka draw ama Senegal kushinda believe. Am with Senegal