Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Kachezesha vizuri sana. Ile faulu ya mane kwa mbape refe mwingine angefunika penalty na tusingelalamika kabisa. yupo fairJamaa ame balance game, japo amemeza filimbi ila amejitahidi
Senegal hawana utulivu wapo kama hawachezi ulaya