Mikopo Consultant JF-Expert Member Joined Oct 28, 2024 Posts 2,375 Reaction score 4,784 Jun 16, 2026 #21 Mwalimu wa tuisheni said: Jamaa ame balance game, japo amemeza filimbi ila amejitahidi Senegal hawana utulivu wapo kama hawachezi ulaya Click to expand... Kachezesha vizuri sana. Ile faulu ya mane kwa mbape refe mwingine angefunika penalty na tusingelalamika kabisa. yupo fair
Mwalimu wa tuisheni said: Jamaa ame balance game, japo amemeza filimbi ila amejitahidi Senegal hawana utulivu wapo kama hawachezi ulaya Click to expand... Kachezesha vizuri sana. Ile faulu ya mane kwa mbape refe mwingine angefunika penalty na tusingelalamika kabisa. yupo fair