Huyu Salah anastahili Ballon d'or.

Huyu Salah anastahili Ballon d'or.

Ballon D'or kivipi wakati magoli yake hayajasaidia hata timu yake kuchukua kombe la mbuzi mpaka sasa?
2013/2014 ronaldo hakuchukua kombe lolote ila akawa mchezaji bora badala ya ribery?
 
Ingekuwa criteria ni lazima uwe umeshinda kombe tu basi list ya wachezaji mpaka 23 ili wapigiwe kura ya nini? si wangetoa majina ya wachezaji tu walioshinda makombe list ndefu ya nini. mfano Salah kawa mchezaji bora EPL lakini hajachukuwa kombe wako wachezaji wa city wamechukuwa kombe lakini hakupata. sitaki kufananisha ila point yangu kuna tofauti ya team bora na mchezaji bora. kawaida mchezaji bora duniani hawatizami kuchukuwa vikombe maana hata kina Gerald walishawahi kuwa on short list japo hawakuwa na vikombe. Hoja je Salah baada ya mchango wake mwaka huu anastahili au hapana, kwangu mimi anastahili na sio kusaidia Liverpool tu pia team ya Egypt kwenda W.C baada ya miaka mingi. Tumpe stahili yake.
Hao wachezaji wote 23 wanaokua kwenye list mwisho wao unakuaga ni wapi? Msibeze factor ya ndoo ili Salah achukue BDO kama hamuamini ngoja Uefa aikose muone kama kuna mtu atakaempa hiyo tuzo. Salah amekua ni mzuri sana ana kiwango bora kabisa lakini tusitake kimtetea apewe hii kitu bila kua na Kombe jamani
 
Point yangu ni kwamba KUBEBA MAKOMBE hakujawahi kuwa kigezo cha messi na ronaldo kupewa ballon d'or sababu kila msimu huwa kuna timu zinachukua Treble ulaya yaani LIGI, FA cup na champions league ila hazijawahi kutoa player of the year kivipi leo ndio mtumie hiki kma kigezo cha kumnyima salah???

Salah anastahili kwa mchango wake kwa club haijalishi mchango umezaa kombe au lah ila tukisema kombe ndio iwe kigezo ronaldo na messi wangezisikia ballon d'or kwenye bomba
Mess na Ronaldo mkuu kweli ni bora yani hakunaga... labda ungekuja na hoja ya kwamba Mess au Ronaldo walipewa BDO mwaka flani bila kua na Kombe lolote hapo sawa, lakini walikua bora kweli na ubora wao ulisaidia timu zao kupata kitu flani
 
Yote kwa yote Salah is a deadly finisher, anajua exactly nini anachokifanya. Na hiyo ni sifa ya not only footballers but all highly talented sportsmen
 
Goals scored in all competitions this season:

Mohamed Salah: 43
Cristiano Ronaldo: 42
Lionel Messi: 40

We are witnessing something like never before.
Ktk magoli 42 ya cr7 goli 20 ni za penati na 7 ya offside
 
Natamani sana Liver achukue uefa msimu huu nione unafki wa wazungu
Hakuna unafiki tena. Hata hao wazungu sasa hivi wanapaza sauti Salah apewe tuzo. Hata CNN wanapaza sauti Salah apewe. Salah ana kitu cha ziada ndani yake haiba flani. Nilisoma dailymail jana ya uingereza inasema every football fan in the world now talks about Salah and everybody love Salah. Haiba ya Salah imeondoa hadi unafiki wa hao wazungu.

Mimi binafsi amenifanya niwapende sana Waislamu ambao nilikuwa nawapinga sana humu kupitia kwa Salah, Zitto na CAG.

Allah ampe wepes na atachukua hiyo Baloon dior na kombe la dunia
 
Huyu mwarabu anastahi.... Yupo on [emoji91]

Ukitaja jina lake kuna tatizo! Mohd salaa namkubali sana

Ila tuweke na akiba ya maneno...ingawa Salah yupo on fire this season...tukumbuke kuna King ambae ameipatia mafanikio timu yake.... Mpaka sasa anaongoza kwa magoli mengi la liga,,, assist more than any players and copa del rey cup kachukua,, La liga pia anaenda kuchukua kwa mara nyingine,, pia kaisaidia tim yake kwenda urussi kwa kupiga goli 3/Hattrick...salaa nakubali kaiwezesha egypt kwenda urusi lakini liverpoor pia hakuiwezesha kuchukua ubingwa wa ligi wala FA Cup.

Kwangu mimi baada ya Messi, next Salaa.
 
Hahahaha.

Mkuu sisi tunataka habari ya mess na Ronaldo ikome,

Wadau wengi wanataka Mo-salah achukue ili makabidhiano ya mess na Ronald yakwishe kabisa.
 
Hahahaha.

Mkuu sisi tunataka habari ya mess na Ronaldo ikome,

Wadau wengi wanataka Mo-salah achukue ili makabidhiano ya mess na Ronald yakwishe kabisa.

Hahaaa mkuu Alisina! Messi bado ana nafasi kubwa tu ya kuchukua mbili zingine.... labda wamfanyie uhuni tu. Kwa Ronaldo/mmaliziaji ndio bye bye...hata hivyo anabahati sana ukilinganisha na Messi ambae performance yake tunaiona ni zaidi ya any player...ila wangelikuwa wanaangalia performance naamini kabisa from 2008-2018 Messi angelamba ballon zote and fifa best player. Hata mafans wake wanalijua hilo 😀😀😀

Cc PAGAN
 
Ktk magoli 42 ya cr7 goli 20 ni za penati na 7 ya offside

😀😀😀😀😀😀 watu wanafunga magoli yalioenda chuo...yeye na mapenati yake alafu end of the day anapewa ballon kama mchezo vile 😀😀😀 raha sana.
 
Ukitaja jina lake kuna tatizo! Mohd salaa namkubali sana

Ila tuweke na akiba ya maneno...ingawa Salah yupo on fire this season...tukumbuke kuna King ambae ameipatia mafanikio timu yake.... Mpaka sasa anaongoza kwa magoli mengi la liga,,, assist more than any players and copa del rey cup kachukua,, La liga pia anaenda kuchukua kwa mara nyingine,, pia kaisaidia tim yake kwenda urussi kwa kupiga goli 3/Hattrick...salaa nakubali kaiwezesha egypt kwenda urusi lakini liverpoor pia hakuiwezesha kuchukua ubingwa wa ligi wala FA Cup.

Kwangu mimi baada ya Messi, next Salaa.
Na anaeenda kubeba uefa champions league kwa mara ya tatu na akiwa kama mfungaji bora, pia laiongoza timu yame ya taifa kwenda Urusi, unamuachaje??
CR7 ni kwamba ana haters wengi kutokana na kuwa flamboyant, ila jamaa anaweza, tutake tusitake, haters mjifunze tu kumzoea na kumkubali upande wa gemu yake.
Salah ni wapenzi wa EPL ndio wanapiga kelele ila bado sana kushinda hii kitu.
 
Ronaldo kinachombeba ni teamates. Anasubiri apewe afunge....alafu huyu huyu mnalazimisha eti afanane na Messi!!! Kwa lipi!!! Messi mpambanaji bwana, this season kaiwezesha tim yake kubena del rey and la liga loading....
ronaldo yeye ni striker tu kama akina de lima suarez aguero n.k.

Ballon de or

Messi 60%.....Salah 40%

Ronaldo simpi nafasi labda wafanye uhuni tu...
 
Back
Top Bottom