thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
2013/2014 ronaldo hakuchukua kombe lolote ila akawa mchezaji bora badala ya ribery?Ballon D'or kivipi wakati magoli yake hayajasaidia hata timu yake kuchukua kombe la mbuzi mpaka sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2013/2014 ronaldo hakuchukua kombe lolote ila akawa mchezaji bora badala ya ribery?Ballon D'or kivipi wakati magoli yake hayajasaidia hata timu yake kuchukua kombe la mbuzi mpaka sasa?
Alikuwa amebeba ndondo cup2014 aliechukua ballon d or alikua kabeba kombe gani?
Hao wachezaji wote 23 wanaokua kwenye list mwisho wao unakuaga ni wapi? Msibeze factor ya ndoo ili Salah achukue BDO kama hamuamini ngoja Uefa aikose muone kama kuna mtu atakaempa hiyo tuzo. Salah amekua ni mzuri sana ana kiwango bora kabisa lakini tusitake kimtetea apewe hii kitu bila kua na Kombe jamaniIngekuwa criteria ni lazima uwe umeshinda kombe tu basi list ya wachezaji mpaka 23 ili wapigiwe kura ya nini? si wangetoa majina ya wachezaji tu walioshinda makombe list ndefu ya nini. mfano Salah kawa mchezaji bora EPL lakini hajachukuwa kombe wako wachezaji wa city wamechukuwa kombe lakini hakupata. sitaki kufananisha ila point yangu kuna tofauti ya team bora na mchezaji bora. kawaida mchezaji bora duniani hawatizami kuchukuwa vikombe maana hata kina Gerald walishawahi kuwa on short list japo hawakuwa na vikombe. Hoja je Salah baada ya mchango wake mwaka huu anastahili au hapana, kwangu mimi anastahili na sio kusaidia Liverpool tu pia team ya Egypt kwenda W.C baada ya miaka mingi. Tumpe stahili yake.
Mess na Ronaldo mkuu kweli ni bora yani hakunaga... labda ungekuja na hoja ya kwamba Mess au Ronaldo walipewa BDO mwaka flani bila kua na Kombe lolote hapo sawa, lakini walikua bora kweli na ubora wao ulisaidia timu zao kupata kitu flaniPoint yangu ni kwamba KUBEBA MAKOMBE hakujawahi kuwa kigezo cha messi na ronaldo kupewa ballon d'or sababu kila msimu huwa kuna timu zinachukua Treble ulaya yaani LIGI, FA cup na champions league ila hazijawahi kutoa player of the year kivipi leo ndio mtumie hiki kma kigezo cha kumnyima salah???
Salah anastahili kwa mchango wake kwa club haijalishi mchango umezaa kombe au lah ila tukisema kombe ndio iwe kigezo ronaldo na messi wangezisikia ballon d'or kwenye bomba
Ktk magoli 42 ya cr7 goli 20 ni za penati na 7 ya offsideGoals scored in all competitions this season:
Mohamed Salah: 43
Cristiano Ronaldo: 42
Lionel Messi: 40
We are witnessing something like never before.
Hakuna unafiki tena. Hata hao wazungu sasa hivi wanapaza sauti Salah apewe tuzo. Hata CNN wanapaza sauti Salah apewe. Salah ana kitu cha ziada ndani yake haiba flani. Nilisoma dailymail jana ya uingereza inasema every football fan in the world now talks about Salah and everybody love Salah. Haiba ya Salah imeondoa hadi unafiki wa hao wazungu.Natamani sana Liver achukue uefa msimu huu nione unafki wa wazungu
Huyu mwarabu anastahi.... Yupo on [emoji91]
Hahahaha.Ukitaja jina lake kuna tatizo! Mohd salaa namkubali sana
Ila tuweke na akiba ya maneno...ingawa Salah yupo on fire this season...tukumbuke kuna King ambae ameipatia mafanikio timu yake.... Mpaka sasa anaongoza kwa magoli mengi la liga,,, assist more than any players and copa del rey cup kachukua,, La liga pia anaenda kuchukua kwa mara nyingine,, pia kaisaidia tim yake kwenda urussi kwa kupiga goli 3/Hattrick...salaa nakubali kaiwezesha egypt kwenda urusi lakini liverpoor pia hakuiwezesha kuchukua ubingwa wa ligi wala FA Cup.
Kwangu mimi baada ya Messi, next Salaa.
Hahahaha.
Mkuu sisi tunataka habari ya mess na Ronaldo ikome,
Wadau wengi wanataka Mo-salah achukue ili makabidhiano ya mess na Ronald yakwishe kabisa.
Ktk magoli 42 ya cr7 goli 20 ni za penati na 7 ya offside
Najua utabisha, rekodi yake ya nyuma ya kubeba vikombe ilimbeba pia.2013/2014 ronaldo hakuchukua kombe lolote ila akawa mchezaji bora badala ya ribery?
Na anaeenda kubeba uefa champions league kwa mara ya tatu na akiwa kama mfungaji bora, pia laiongoza timu yame ya taifa kwenda Urusi, unamuachaje??Ukitaja jina lake kuna tatizo! Mohd salaa namkubali sana
Ila tuweke na akiba ya maneno...ingawa Salah yupo on fire this season...tukumbuke kuna King ambae ameipatia mafanikio timu yake.... Mpaka sasa anaongoza kwa magoli mengi la liga,,, assist more than any players and copa del rey cup kachukua,, La liga pia anaenda kuchukua kwa mara nyingine,, pia kaisaidia tim yake kwenda urussi kwa kupiga goli 3/Hattrick...salaa nakubali kaiwezesha egypt kwenda urusi lakini liverpoor pia hakuiwezesha kuchukua ubingwa wa ligi wala FA Cup.
Kwangu mimi baada ya Messi, next Salaa.
Na anaeenda kubeba uefa champions league kwa mara ya tatu na akiwa kama mfungaji bora, pia laiongoza timu yame ya taifa kwenda Urusi, unamuachaje??
CR7 ni kwamba ana haters wengi kutokana na kuwa flamboyant, ila jamaa anaweza, tutake tusitake, haters mjifunze tu kumzoea na kumkubali upande wa gemu yake.
Salah ni wapenzi wa EPL ndio wanapiga kelele ila bado sana kushinda hii kitu.