Una undugu na Washawasha?
Si mfanyakazi na it means ana mshahara wake kila mwisho wa mwezi sasa presha ya nini?Mwambie ajitambue huyo shostito
Soma watu walivyoquote hapo hamna iliyofutwaKasoro hii tu nadhani ulifuta
Nitag kwanza kwenye moja me sijaonaSoma watu walivyoquote hapo hamna iliyofutwa
Hujaona nn!Nitag kwanza kwenye moja me sijaona
Uzi naona umefutwa halafu wengi naona hawajamquote uzi mzima,.Hujaona nn!
Itakuwa 4+++Ila Evelyn Salt πππ. Tuambie kwanza mpaka sasa ana watoto wangapi na huyo boss wake miaka kumi mingi ujue
KwakweliπππItakuwa 4+++
Watoto wapo shule sasa πΉIla Evelyn Salt πππ. Tuambie kwanza mpaka sasa ana watoto wangapi na huyo boss wake miaka kumi mingi ujue
Nilijua tuπππWatoto wapo shule sasa πΉ
Nyuzi zako baby leo zinafukuliwa zote, kuna nini?.............
Nyuzi za Eva leo zinafufuliwa tu, sijajua kuna shida gani..Daah leo mmeamua kufufua kweli πππ
Wanga wabaya kaka angu πNyuzi zako baby leo zinafukuliwa zote, kuna nini?
Ukute mtu kajiokokea zake af unafufua maovu ππNyuzi za Eva leo zinafufuliwa tu, sijajua kuna shida gani..