PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Una undugu na Washawasha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una undugu na Washawasha?
Si mfanyakazi na it means ana mshahara wake kila mwisho wa mwezi sasa presha ya nini?Mwambie ajitambue huyo shostito
Soma watu walivyoquote hapo hamna iliyofutwaKasoro hii tu nadhani ulifuta
Nitag kwanza kwenye moja me sijaonaSoma watu walivyoquote hapo hamna iliyofutwa
Hujaona nn!Nitag kwanza kwenye moja me sijaona
Uzi naona umefutwa halafu wengi naona hawajamquote uzi mzima,.Hujaona nn!
Itakuwa 4+++Ila Evelyn Salt 😂😂🙌. Tuambie kwanza mpaka sasa ana watoto wangapi na huyo boss wake miaka kumi mingi ujue
Kwakweli😂🙌🙌Itakuwa 4+++
Watoto wapo shule sasa 😹Ila Evelyn Salt 😂😂🙌. Tuambie kwanza mpaka sasa ana watoto wangapi na huyo boss wake miaka kumi mingi ujue
Nilijua tu😂😂🙌Watoto wapo shule sasa 😹
Nyuzi zako baby leo zinafukuliwa zote, kuna nini?.............
Nyuzi za Eva leo zinafufuliwa tu, sijajua kuna shida gani..Daah leo mmeamua kufufua kweli 😂😂😂
Wanga wabaya kaka angu 😂Nyuzi zako baby leo zinafukuliwa zote, kuna nini?
Ukute mtu kajiokokea zake af unafufua maovu 😁😁Nyuzi za Eva leo zinafufuliwa tu, sijajua kuna shida gani..