Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #101
Ha ha ha basi jiandae muda wa kulipwa umefika, komaa komaa utapewaShida ni kwamba ashakula pesa yangu na kodi ya nyumba nilimlipia mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha basi jiandae muda wa kulipwa umefika, komaa komaa utapewaShida ni kwamba ashakula pesa yangu na kodi ya nyumba nilimlipia mimi
Aaghhh sitaki hata kumwambia tena hizo habari atajua mwenyeweSasa mwambie achague kuwa mkweli au kuongea uongo mmoja ukazaaaa mauongo laki tano
Aaghhh sitaki hata kumwambia tena hizo habari atajua mwenyewe
Marahaba mpenzi wa Konda wa bodaboda Ai lavu wewe.
Kama yupo humu potelea mbali acha anisute tu kwani sh ngapi.....!!?
Nimekaa zangu mara meseji ya shoga angu ikaingia "mambo, naomba uongee na doctor anitengenezee cheti kuwa nnaumwa kizazi" sikutaka kuhoji hata sababu nkahisi anataka kupiga hela za ofisi nikajibu "namba si unayo mwambie"
akapiga kimya kwanza, baadae akaona afunguke tu na ndo aliponikera mie .......
"nahitaji cheti nimuoneshe boss wangu sababu ananitongoza, sasa nimemwambia naumwa kizazi"
fck nkajiwazia tu huyu shost angu ni taahira au? Huu si uboya nilichouliza "huyo boss ana kipi hasa cha kukutetemesha hivo hadi watu wakimbizane na mihuri kisa we umetongozwa"? Oooh nimemwambia naumwa kizazi....ndo nataka nimuoneshe cheti mxyuuuuuuuuuuu......
means ukipona utampa? Unamtaka ila unaona noma kumpa? Kama kizazi kinauma akiomba huko toilet je?
au ndo kudorishia tu kuwa katongozwa na boss, mbona ma boss ambao hawatongozi wafanyakazi wanahesabika
kisa boss ndo asiambiwe sitaki? Au ndo msemo wa lara 1 kuwa unamkataa mtu kiutu uzima!
kama utu uzima ndo huu acha anione mtoto zile za "unikome babu na sura lako baya" zitaapply tu huu ni ufa.lah
Mi siwezi mwambia doctor huu ujinga, nikajiaibisha kijinga jinga hivi
nikashangaa doctor ananambia nimeambiwa una ujumbe wangu, nikamjibu sina ujumbe mwambie akuambie mwenyewe
akaaa cha kujitia aibu!!!
jamani eeh njaa zipo, shida zipo ila sio zitufanye watumwa kiivo.....
ningemjua huyo boss wake ningemsisitiza azidi kumuomba na amle tu
Aaaahhh lesson tu kwa watu wasiojielewa na maamuzi yaoshost mbona wamtangaza shogako.
Hata mi naona....Huu ugonjwa wa domo zege naona umesambaa mpaka kwa watongozwaji.
Mi sijamuelewa hata nukta nimeishia kumshangaa tuShosti wako hajiamini
Au keshakula hela za matibabu alizopewa na boss???
hahahaaaa kwani sh ngapi babu weee ..... hiv kwani kizazi kinaumaje labda
Hhhhaaaaaaaaaaa